Askari Polisi amuua kwa Risasi Mlinzi wa Baa ya Boardroom Iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam

Askari Polisi amuua kwa Risasi Mlinzi wa Baa ya Boardroom Iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam

Polisi wakipitaga kuchukua rushwa hapo Boardroom na Gentlemen huwa nawasikitikia sana maana wanakusanya rushwa bar zote za sinza wakimaliza wanakabidhi almost 60% kwa mkuu wa kituo kinachobakia ndio wanagawana. Waliotekeleza hicho kitendo inabidi wahukumiwe hata kunyongwa. Mtu katoka nyumbani kwake bila kulazimishwa kaenda bar kutafuta mwanaume wa kumlipa ili akampatie uroda then unatokea polisi ukiwa na bunduki eti unaenda kumuwinda, huo ni upuuzi wa hali ya juu sana. Sifurahishwi na kitendo cha binaadamu kupotezewa maisha ila kuna wakati naona wale walio vamia kituo cha stakishari na kupoteza polisi kadhaa walifanya jambo la maana sana. I hope likitokea tukio lingine kama lile polisi watakaa kwa kutulia. Weekend hii sijui nikanywe pombe wapi sasa
 
Ushahidi mwingine ya kwamba mental health kwa sasa ndio tatizo linaloenda kuwa kubwa kuliko pengine HIV. Hawa askari wana mafunzo vizuri lakini ona matatizo wanayotuletea mitaani yan kiasi kwamba ukimuona askari huna amani.

Kuna mstari mmoja wa Fid Q alisema ukishika nyundo kila kitu unakiona kama msumari unatamani ugongelee ndio kinawakuta askari wetu hawa. RIP Razak, 29 Yrs was enough for you according to some foolish police officer.
 
Ni kweli.ila hao jamaa wa milangoni misifa sana.kuna siku nimeingia sehemu.nimesimama tu mule ndani,akaja mmoja akaniuliza unafanya nini?nikamwambia nimesimama naangalia shoo.akaniambia today nje haturuhusu watu kukaa bure.
Sio kama sikuwa na hela ya kununua kitu mule ndani,ila uwa napenda kuangalia tu misambwanda.nikatoka kinyonge kuepusha shari

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Ni bora pia uliondokq kuepusha shari mkuu. Lakini usipende sana kutazama 'misambwanda' hahaha!

Nafikiri hao 'mabaunsa' walishindwa kutumia mbinu yako. Polisi wetu wana tatizo fulani, ukiwahoji au kuwazonga kidogo wanahamaki wanaona kama unawadharau, sasa mtu akiwa kwenye hali kama hiyo na ana silaha ni mtu hatari sana. Nafikiri wanaowapika huko mafunzoni wanatakiwa wapate mwalimu wa mambo ya saikolojia itawasaidia sana kuepukana na hali ya kujiona wanadharauliwa.
 
Sehemu za aina hiyo kwenda sahvi ndomana wengine tulishakachaga
Kuna mambo ya ajabu ajabu sana

Ova
 
Mbona wamemsababishia kifo kjn wawatu ana watuvnyuma wanamtegemea

Hawa police waliofany tukio hili kwamba kwao n kawaida , unaend bar na slaa tena Askari upo proper uniform

Huu ni unyama sasa
 
Ila tukumbushane tu..askari anapokuwa na silaha usijibizane nae hadi kufika kitendo cha kumgusa au kugusa silaha inaweza kutafsiriwa Kwake unataka kumpora silaha.....
Ndio sheria inasema hvyo au n self defense
Au kufunzan uoga??
 
Back
Top Bottom