Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Ndio ni walinzi wezombi haujui?Aahaaaa
Eti walinzi
Kazi yao ni kulinda raia na Mali zao
Kwa hio ni walinzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ni walinzi wezombi haujui?Aahaaaa
Eti walinzi
Mi CasaWeekend hii sijui nikanywe pombe wapi sasa
Muziki mbovuMi Casa
Wapuz sana haoAdhabu kali itolewe kwa hao askari, hivi unaanzaje kumdhuru binadamu mwenzako ambaye hana silaha. Hakika afya ya akili bado ni janga kwa askari wetu
La ChazMuziki mbovu
Nimesikitika sana, wanyongwe bila huruma.Wapuz sana hao
Ova
Nadhani naweza anzia, Icons > La chaz > Tipsy > Houseparty (ikitokea)La Chaz
Kakimbia naona.Nasubiria na miye majibu
Hapo sawa boss,Nadhani naweza anzia, Icons > La chaz > Tipsy > Houseparty (ikitokea)
Ni kweli.ila hao jamaa wa milangoni misifa sana.kuna siku nimeingia sehemu.nimesimama tu mule ndani,akaja mmoja akaniuliza unafanya nini?nikamwambia nimesimama naangalia shoo.akaniambia today nje haturuhusu watu kukaa bure.
Sio kama sikuwa na hela ya kununua kitu mule ndani,ila uwa napenda kuangalia tu misambwanda.nikatoka kinyonge kuepusha shari
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Ndio sheria inasema hvyo au n self defenseIla tukumbushane tu..askari anapokuwa na silaha usijibizane nae hadi kufika kitendo cha kumgusa au kugusa silaha inaweza kutafsiriwa Kwake unataka kumpora silaha.....