Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

Huyu JWTZ alitaka polisi asifanye kazi yake kisa tu yeye ni abiria ktk Hilo gari
 
JWTZ kuna wanaoandika kwa shida hata majina yao. Ukitaka ushahidi njoo pm
Mamburula wote jeshini ndio wanaishia hivyo na wengine wameshastaafu,jeshi la sasa hivi ni la wasomi..sasa hivi huwezi kuingia JWTZ na division 4 kule wanaingia watu wenye taaluma zao.
 
Forensic , IT, upelelezi, n.k
Foresinc, IT,na upelelezi looooooo, honestly mkuu hivi vitengo tunavyo ndani ya jeshi letu la police?,police hata to secure a crime scene ni shida, police anafika kwenye eneo lililotokea ajali hajui aanzie wapi (elewa kuna procedures zake),ngoja niendelee kupata mbeta za ulanzi hapa lingusenguse
 
Wale wanaong'amua fingerprints kwenye silaha zilizohusika ktk mauaji wamesoma forensic chemistry mkuu. Usiwaone vile hawajikwezi tu.
 
Wale wanaotafuta fingerprints kwenye kifaa kilichotumika kwenye mauaji wamesoma forensic chemistry mkuu
Pls mkuu, foresinc yetu ni zero, acha hizi politics, unachukua finger prints then unazipeleka wapi?,wenzetu wanapeleka to run kwenye ile database ya raia wa nchi nzima, sisi IDs zetu ni vichekesho na eti zina muda maalum wakati ID ni life book yako ,unazaliwa nayo na kufa nayo!
 
Wewe Akili zero JWTZ ndio linaongoza kwa wasomi sasa hivi JWTZ hauingii na division 4, police division zero na darasa la saba zipo za kutosha na bado wanaendelea kuchukua vihiyo
Nyau ww Nani kakwambua form 4 ni usomi
 
Wale wanaong'amua fingerprints kwenye silaha zilizohusika ktk mauaji wamesoma forensic chemistry mkuu. Usiwaone vile hawajikwezi tu.
Common mkuu,acha hadithi hii !,mimi nimetumia LMG kufanya uhalifu bank, nimedondosha hii silaha na Kuja kujificha huku lingusenguse, sasa niambie hizo finger prints zangu zita nilinks vipi na crime scene?
 
Common mkuu,acha hadithi hii !,mimi nimetumia LMG kufanya uhalifu bank, nimedondosha hii silaha na Kuja kujificha huku lingusenguse, sasa niambie hizo finger prints zangu zita nilinks vipi na crime scene?
Watazipeleka NIDA. Kule itaoana na kitambulisho chako cha NiDA, simu cards zako zote na kitambulisho cha uraia
 
Hao unaowatetea wanakera sana barabarani, wapambane tu na hali yao.....mida hii wameweka foleni ya kufa mtu hapa buguruni na leo ni jumapili, hapo wanatega ya kiwi.
 
Alikuwa akimuonya nini Dereva?
Polisi huwa wanatumia maswali babaifu ili kumbaini mhalifu.

Walimwambia dereva piga honi, washa taa, leta leseni yako, n.k. JWTZ akaanza kumuwakia polisi eti anawachelewesha bure. Ndiyo yule polisi akasema "nakuonya". JWTZ akamuita paka yule polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…