mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
hivi jamaa angesimama tu,wakaongea vizuri kitumishi tu na akaomba radhi angepungukiwa nini,huenda hata asingelipishwa faini,tena wangekuwa marafiki na huuo trafiki,nimeamini kujishusha kunainua.
Kama ameshtakiwa mahakama ya kiraia,maana yake kuna mengine yatampata lazima.
Sasa demu angemuonaje[emoji23][emoji23].