Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

hivi jamaa angesimama tu,wakaongea vizuri kitumishi tu na akaomba radhi angepungukiwa nini,huenda hata asingelipishwa faini,tena wangekuwa marafiki na huuo trafiki,nimeamini kujishusha kunainua.

Kama ameshtakiwa mahakama ya kiraia,maana yake kuna mengine yatampata lazima.

Sasa demu angemuonaje[emoji23][emoji23].
 
Mwanajeshi siyo raia. Sheria za kiraia azimuhusu ingawa baadh ya sheria za kijeshi zinashabihana na za kiraia
 
Kajifunze kwanza,sheria zote za kiraia ni sheria zinazomhusu mwanajeshi pia na zinatambulika mahakama ya kijeshi.ila za kijeshi hazimhusu raia.

Huyu kafanya kosa,tena la kipuuzi uraiani,kabla hata mahakama ya kiraia haijakaa tayari ya kijeshi imeshamhukumu na kumwacha akalale polisi akahukumiwe ktk mhakama za kiraia.
 
Hilo jinga hivi hakuna namna lipewe kesi ya kujaribu kuua ?
 
Yule jamaa wa "wewe paka unanisemesha nini? Traffic ! KWAHIYO Mimi ni paka Mwanajeshi: ndiyo wewe ni paka tu ? Jamaa aliishiaga wapi?

Watu Wazuri na wabaya wako Kila sehemu iwe madkatari walimu, n.k...hata wanajeshi wapo wengi Wazuri tu, kinacho wadrive Hawa wengine ni elimu ndogo ikichanganyana na Ego, sijui wanalipwa shingapi Lakini Mimi kazi yangu mshahara ni mdogo mno, Lakini nakaa na wanajeshi hapa wako normal tu.....
 
Mwanajeshi siyo raia. Sheria za kiraia azimuhusu ingawa baadh ya sheria za kijeshi zinashabihana na za kiraia

Labda useme kwamba Wanajeshi wote ni Raia ila kuna Raia wengine siyo wanajeshi.....Mwanajeshi neno raia kwake ni TUSI ila anashindwa kuelewa kwamba jeshi ni kazi tu haimuondolei uraia wake ,ni same as engineer naye asiwe raia kisa title ya u-engineer?

Pia hakuna mtu aliyejuu ya sheria ,hao wanajeshi kama ametenda jinai anashitakiwa kama kawaida.

Kuna baadhi ya vyeo/kazi nchini unakuwa na Immunity.
 
Sheria ipi ya kiraia haimuhusu mwanajeshi? Sheria zote za kiraia zinamuhusu askari yeyote, akimshambulia mtu utafunguliwa kesi ya Shambulio na atawajibika, akimtukana mtu atafunguliwa kesi ya kutoa lugha ya matusi na atawajibika, akivunja Sheria za barabarani kama huyu anapelekwa mahakamani Kama hivi, kwahiyo Askari Sheria zote anatakiwa azifate na yeye ndo awe mfano, akifanya kosa lolote la jinai atafukuzwa kazi kupitia mahakama za kijeshi na atafikishwa mahakama ya kirai kuchukiliwa hatua zaidi

Usidanganyike kuwa eti Sheria za kiraia hazimuhusu huo ni uongo
 
Mkuu watu wanadanganyana vijiweni, wanajisahau mpaka wanaleta kwenye platform yenye kila aina ya watu wenye maarifa tofauti tofauti.
 
Labda useme kwamba Wanajeshi wote ni Raia ila kuna Raia wengine siyo wanajeshi.....Mwanajeshi neno raia kwake ni TUSI ila anashindwa kuelewa kwamba jeshi ni kazi tu haimuondolei uraia wake ,ni same as engineer naye asiwe raia kisa title ya u-engineer?

Pia hakuna mtu aliyejuu ya sheria ,hao wanajeshi kama ametenda jinai anashitakiwa kama kawaida.

Kuna baadhi ya vyeo/kazi nchini unakuwa na Immunity.

Sasa hiyo immunity anayo mtu mmoja tu[emoji23][emoji23]

Wengine wana baadhi tu tena chache mnoo.
Yaani CAG na kutotenguliwa
Chief judge naye kutotenguliwa.

Sasa hawa wengine dah
 
Back
Top Bottom