Kwanini polisi wavae hivyo .
Kwa nini wafiche sura zao hivyo nitajie sababu moja tu.
Asante sana mpiga picha kwa hii picha. Imenikumbusha picha za Gestapo wa Adolph Hitler walipokuwa wakipita usiku katika nyumba za watu na kuwakamata...kweli tumefika huku!Kama sijakosea
Mahakama ilishatoa agizo polisi wasivae mask
imekuwaje wanakaidi maagizo ya mahakama, wahusika watoe maelezo na ikiwezekana wawajibishwe kisheria
Ndiyo muache hizo mbwembwe sasa mkuuMM NIPO HAPA, MBONA MNAZUA TAHARUKI MITANDAONI HIVO?
KWANI NI MARA YA KWANZA POLISI KUVAA HIVO?
DAAH KWA KWELI MBINU ZIKIISHA HUWA NI USANII UNABAKI
Kutokana na matendo yao, Mimi binafsi sioni tofaufi yoyote ile iliyopo Kati ya Polisi na Boko Haram
MKUU MM SI AFANDE, SEMA NINI..TUSIWATIE WATU HOFU, KILA SEHEMU HAYO YAPONdiyo muache hizo mbwembwe sasa mkuu
Watu Wapo Mbali Sana Wanajitahidi Kukusanya UshahidiBora hata mmewapiga picha za ukumbusho. Maana hao jamaa kwa kukana tu kuhusika na hayo matukio yao ya hovyo, hawajambo. Hao bila ya ushahidi watakuambia hawahusiki.
Hivi Ni kwa Nini?Hata fundi ujenzi ni hivyohivyo!Ingine useremala
walichonga msalaba wa kumsulubu YESU wakati yeye mwenyewe alikuwa fundi seremala
Wenzake walimsaliti
Ni vigumu kumkuta seremala ni tajiri labda tu awe anajihusisha na kuuza vitu vya fanicha
Huwa anasema haogopi, kulikoni tena?Askari walioficha sura zao inadaiwa wanamfuatilia John Heche mchana huu huko MWANZA. Askari hawa wanatumia gari lenye USAJILI PT 4833.
Kwanini wavae hivi wakiwa kwenye gari za POLISI? wanajificha nini?
Mbona unaandika ujinga hata sikuelewi, unaleta habari ambazo hazinihusu, uliwaonya wakina nani na wewe kama nani, na una haki gani kutaka niandike kama unavyotaka wewe ?Damu gani tena si mlisema hakuna damu chini ya samia anaupiga mwingi niliwaonyeni kuhusu hekima ya kukisoma kifo cha jpm kutabiri mambo ya jayo ...niliwaambia kile kifo kama kina mikono ya watu basi hali ya nchi itakuwa mbaya zaidi walio husika awawezi kamwe kufanya makosa juu ya nafsi zao ....maana wanajua madhara yake ...
Kwani nani anawalipa hao wauaji, usijtoe ufahamu, mama yenu damu zimemnogea kila akilala akiamka anataka kuua tu.Mkuu wa polisi kwani mzenj? Magu alikua mzenj?
Majirani zetu wamefika hapo kwenye uhuru wa mahakama.MM NIPO HAPA, MBONA MNAZUA TAHARUKI MITANDAONI HIVO?
KWANI NI MARA YA KWANZA POLISI KUVAA HIVO?
DAAH KWA KWELI MBINU ZIKIISHA HUWA NI USANII UNABAKI
Unashangaa Div IV ya point 32 kukosa akili.Hawa polisi sijui kwanini hawana aliki.
Askari ni watu wema sanaAskari walioficha sura zao inadaiwa wanamfuatilia John Heche mchana huu huko MWANZA. Askari hawa wanatumia gari lenye USAJILI PT 4833.
Kwanini wavae hivi wakiwa kwenye gari za POLISI? wanajificha nini?
Hao sio askari, pigeni magaidi hayooo. wananchi mmekuwejeee????!Askari walioficha sura zao inadaiwa wanamfuatilia John Heche mchana huu huko MWANZA. Askari hawa wanatumia gari lenye USAJILI PT 4833.
Kwanini wavae hivi wakiwa kwenye gari za POLISI? wanajificha nini?
Hawa sababu YESU alikataliwa asizaliwe ndani ya nyumba Masihi akazaliwa kwenye hori la ng'ombe kithungu wanasema Manger.Mungu akalaani hata wajenzi wa hiyo nyumba.Hivi Ni kwa Nini?Hata fundi ujenzi ni hivyohivyo!