PreGE2025 Askari waliofunika sura zao wanadaiwa kumfuatilia John Heche huko Mwanza, yadaiwa wanataka kumkamata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Amina.
 
Serikali mseto ni lazima this time. Rais CHADEMA, makamu CCM. Chama chenye wabunge wengi Waziri mkuu. So far somebody sio mgombea urais itapigwa katafunua moja matata sana.
labada mseto wa malofa waropokaji waliopoteza uelekeo wa kisiasa gentleman
 
lolote likitokea kifusi cha mawe kiwashukie,najua ni maadalizi ya 19/5 kesi ya lisu kwamba ccm wanakikisha heche anakuwa ndani,wakati lisu analetwa mahakamani. ccm bure kabisaa
 
Wewe jamaa unanivunja mbavu '!
 
Umejiaje wanafuatilia Heche? Acheni porojo za taharuki. Hata hapa mtwara mjini nilipo zimepita gari kama hizo na askari kama hao.
Na wewe shusha Uzi "Wamefunika uso wa kikimbizia Korosho".
 
Hii kazi usipoangalia unaondoka na laana hadi kizazi chako cha nne. Hata hivyo wengi wao mapato yao ya ulaghai ulaghai tu. Ukienda polisi hata kama wewe ni mlalamikaji wanakukamua fedha hadi ufilisike. So ni watu wameshajizoelea tu dhuluma hawawezi kuona tabu kudhulumu uhai wa mtu ndo maana ni rahisi kutumika.
 
Policcm wanapokuwa kwenye shughuli zake kihalali kwa nini wajifiche nyuso zao. Hata lissu walikuwa wanauwezo wa kumwita policcm na kufuata wito lakni kwanini walikwenda kumteka?
Wanatengeneza fursa ya perdiems
 
Yakistaafu yanatia huruma huko mtaani shenzy kabisa
 
naona wameweka na bendera nyekundu kuashiria hatari, huku ni kuleta taharuki na hofu kwa jbmii

itafikia wakati jamii itaona kawaida na kutowaogopa

namwona dogo wa shule hapo anawashangaa na kujiuliza hawa polisi au wahalifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…