PreGE2025 Askari watawanya Watu mkutano wa CHADEMA Songea, mabomu ya machozi yarushwa, Polisi wawabeba Heche na Lema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Jaribu uone moto wake mpaka ujute kuzaliwa
Uwez kujua kila kitu, we fanya kazi yako ya uchawa ndio kiwango chako, ila waambie maboss wako siku yaja. Haki ikikandamizwa, itatafutwakwa nguvu!1 kubwa kama hiyo inayokupa kiburi. Hivi jiuliz m23 ilianzaje. kwa nini inaungwa mkono na waCongo wenyewe!
 
mkivunja sheria mtapigwa tu.
 
Jaribu uone moto wake mpaka ujute kuzaliwa
kama unafikili nchi mtaipereka pereka hiv hiv, endeleeni. Ni lazima tufike stage hii ya kuuona huo moto wenu, ili uje moto wa dawa yenu. Endeleeni kutupeleka uwanjani. Chadema hawana lolote ila kuna watu hatutaki haki ipokonywe.
Zitapigwa tu huko mtakapotufikisha kwa kugawana majembe hayahaya mnayojivunia. Nimekaa pale, naangalia mov
 
Kaa kwa kutulia huko. Kama unajiamni Embu jaribu kuleta fujo
 
Mwambieni comrade samiah na mchengerwa hao aliowakamata ni walipakodi waachwe waongeze mzunguko wa fedha nchini!!

Kama wao Wana "No reform no election"sisi tuanzishe "Reform done Election on"

Nashauri tu!
 
Hizo bla bla zako nenda nazo Mahakamani siku ya kesi. Ushahidi wote wa treason upo kwa video clips
 
CHADEMA hawapigani kunitetea mimi, bali wanataka kukidhi matumbo yao na familia zao
 
Sasa Lissu ndo anapigania alichopigania Nelson Mandela? Huo mfano haufanani na Lissu kabisa.
Wanafanana.
Sasa wafuasi mko mtandaoni tuu na G55 ndo unawaona Kama makaburu?
Mtandaoni kwani tunakaa mbinguni? Halafu hata Mandela kwani alipokuwa jela Kila mtu alikuwa naye jela.

Waliokuwa wanandesha radio "External Services" wakiwa hapa Tanganyika wana tofauti gani na watoa maudhui mitandaoni wa zama hizi?

Mnaiogopa mitandao kwa kuwa hamuwezi kudhibiti watu wake kama mlivyodhibiti "mainstream media" za nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…