Askari wawili wafariki kwa kupigwa na radi Simanjiro

Radi siyo bomu bali umeme,sasa umeme uingie mwilini halafu uunguze nyasi!!?
 
Tumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa Samia Suluhu Hassan
 
Imekaa vizuri kwa kweli.
 
Hiyo inaitwa radi mpalazo. Aina hii ya radi huua askari wa ccm tu.
 
Futa neno "NDUGU ZETU ' usilitumie vibaya hilo neno askari sio ndugu zetu, hao ndugu zao ni virungu,risasi,magari ya kuwasha nk ,watanzania hawana ndugu wa aina ya polisi wanao watesa na kuwaua kwa kiasi kinacho tokea safari hii nasisitiza futa neno NDUGU ZETU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…