Yaani majuha wanatafuta Kila kinachoweza kushikiwa kujaribu kupindisha ukweli halisi Kuwa Magu anakubarika🤔! Nawaonea huruma saana! Kinachopiga kura siyo PhD! Kamuulize Dr. Makyembe alivyomjibu yule mjumbe juu ya mtihani wa STD 7 bila kujua wapiga kura walio wengi waligalagazwa na mtihani huo!..
Huyu Shekhe mtupu kabisa huyu. Alimshindwa Mange Kimambi.Sheikh ubwabwa A.K.A Sheikh Bahasha za khaki huyu hapaView attachment 1540231
sorry uyu DR aya maandishi yake uwa ana ya publish wapi (kwenye facebook, jamiiforum, instagram au tweeter) naomba kujua Username yake niweze kumu add aisee, ana madini sana uyu babu*Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe kuhusu kilichoitwa Kongamano la Viongozi wa Dini*
________
Watu wengi wameniuliza sana kuhusu kongamano la viongozi wa DINI. Siwezi kumjibu kila mtu peke yake. Maoni yangu ni haya:..
Huelewi ukisemacho ndg!Ndio maana nilitaman sana GPA zitumike kutoa kazi vyuoni maana bila GPA kutumika kuna vilaza wengi wangekuwa lecturers kisa degree zao hazina GPA.
Amani kwanza ndo haki ipatikane.bila amani akuna haki.Hakuitisha maandamano popote acha upotoshaji wa kijinga. Na ujumbe wake uko wazi kuwa hilo lilikuwa ni kongamano la amani, lakini sio la haki.
Kama hupendi kunywa sumu,Yaani majuha wanatafuta Kila kinachoweza kushikiwa kujaribu kupindisha ukweli halisi Kuwa Magu anakubarika🤔! Nawaonea huruma saana! Kinachopiga kura siyo PhD! Kamuulize Dr. Makyembe alivyomjibu yule mjumbe juu ya mtihani wa STD 7 bila kujua wapiga kura walio wengi waligalagazwa na mtihani huo!..
Yupo facebook mkuu andika jina lake utampatasorry uyu DR aya maandishi yake uwa ana ya publish wapi (kwenye facebook, jamiiforum, instagram au tweeter) naomba kujua Username yake niweze kumu add aisee, ana madini sana uyu babu
Huyu mbona anajulikana mlengo wake kisiasa.Asibeze misimamo ya viongozi wenzake.Sifa za kwenye mitandao zinampa jeuri ya kusema*Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe kuhusu kilichoitwa Kongamano la Viongozi wa Dini*
________
Watu wengi wameniuliza sana kuhusu kongamano la viongozi wa DINI. Siwezi kumjibu kila mtu peke yake. Maoni yangu ni haya:
1. Hakuna DINI inayoiwakilisha nyingine. Wasikilizeni walioenda. Msiwapuuze ambao hawakwenda maana nao wana DINI zao...
Amani kwanza ndo haki ipatikane.bila amani akuna haki.
Lissu kesha andaa watu wa kuvuruga amani baada ya uchaguzi,kasema yeye mwenyewe ataingia barabarani...
Ameongea ambacho wengi humu mnapenda kusikia.
Hawezi hata siku moja kusema kuwa nakubali serikali imeimarisha hiki au kile...