Walitegemea kuweka mtu wao Ili wamuondoe mwarabu bandarini,,mkwere kacheza kama pele
Wamefanya fitna zao mpaka waturuki wamezuiwa kugawa nyama kila weekend,eti wakitaka wapeleke kwenye taasisi,hawa watu fitna sana
Kikwete ndiyo kasababisha matatizo yote hayo. Ameshastaafu anafuata nini ikulu? Aondoke, tulishamsindikiza hadi Msoga, halafu anarudi kinyume nyume......SHAME ON YOU KIKWETE AND YOUR FAMILY. Wewe ndiyo chanzo cha matatizo yote nchi hii.