Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

Kama alimaanisha jk basi huyo kiongozi wa dini atakuwa na dosari,si jambo jema kwa kiongozi wa dini kumuandana mtu hata kama ana dosari
Huyo ni mwakilishi wa viongozi wao weengi wa dini,hao nguchiro wamejawa na chuki na hasadi tuh sababu ya udini,na nchi hii makafiri wamejaa kila kona serikalini kazi yao ni kuiba na kukimbilia kanisani kutoa sadaka,then anajifanya anaumia,anaumia nini fala huyo
 
watanzania wenzangu tukosoane kwa lugha ya staha,tujenge unoja wa nchi yetu,hakika mnatupa shida sisi ambao tumezaliwa na mzazi mmoja mtanzania na mwingine sio mtanzania.
 
Kikwete ni Rais pekee mstaafu aliebakia,makafiri mnaumia nini akiombwa uzoefu wake na huyu alieopo madrakani??makafiri hizo chuki zenu peleni kwa yesu
Huyo ameharibu mifumo ya uendeshaji wa nchi amepachika wakina asalamaleko ambao kiasili ni watu weupe vichwani. Ninyi ni tabaka dhaifu la kutawaliwa, vitu vya upeo sio saizi yenu. Ujanja ujanja, wizi wa mali za umma, ufisadi mkubwa, taifa kukosa muelekeo sio vitu vya kufurahia kwa sababu wewe na rais aliyepo madarakani mna imani moja. Grow up
 
Kama alimaanisha jk basi huyo kiongozi wa dini atakuwa na dosari,si jambo jema kwa kiongozi wa dini kumuandana mtu hata kama ana dosari


Kama ni kwa maslahi ya watanzania Sio vibaya Mkuu kumpoint mtu May be ingekuwa kwa maslahi yake binafsi, sasa huyo Mzee anamaslahi Gani binafsi amesukumwa tu kusema sauti iliyo ndani ya watanzania wengi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Msoga alifanyiwa upasuaji wa kuondoa mshipa wa aibu na kuwekewa mshipa wa VISASI in silent mode,
 
KANISA KATOLIKI LIACHE SHOBO NA SIASA ZA NCHI HII,HAPO KANISA LINAUMIA KWA SABABU RAIS NI MUISLAM NA MSTAAFU NI MUISLAM,ACHENI NONGWAA...

NCHI HII WAKATI WAISLAM WANAPIGANIA UHURU KANISA LILIMKUMBATIA MKOLONI...LEO FYOKO FYOKO WANAZITOA WAPI

Hii ndiyo shobo straight pamoja na kuchanganya dini na siasa.
Unlalamikia mtu anayetoa maoni pasina kumtaja mtu jina!
The guilty are always afraid.
 
Maelezo yako ni changamoto za mafundisho batili uliyo jazwa, pole sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…