watching movies
Senior Member
- Jul 18, 2025
- 148
- 166
Hapo lazima rais wa 4 angekuwa Salim Ahmed salim kama Nyerere angefika 2005Nyuma ya samia kuna kikwete na wahuni wenzake ikumbukwe tu kwmb kama mzee nyerere alingefariki kikwete asingekuwa raisi wa Tz ila ndo ivo sasa
Gawio litatoka karibuni msilie ivoKaa kwa kutulia utaelewa vizuri
Ushsuri wake lazimu utaiharibu zaidi nchi kwa sababu chini ya uongozi wake ndiyo nchi hii ilianza kuharabikiwa. Alichaguliwa kwa 80% ya kura zilizotokana na uongozi bora wa awamu ya 3. Baada tu ya miaka 5 ya uongozi wake kura zikashuka hadi 60%! Ndiyo kusema ndani ya miaka 5 wananchi waliufahamu aina ya uongozi wake na kuuchoka. Wakati awamu ya 4 inamaliza muda wake kura zikawa zimeshuka zaidi na ikabidi kuchakachuliwa kufikisha angalau 58%! Baada ya hapo ccm ikawa haitaki tena uchaguzi bali kupora tu. Awamu ya 4 ndiyo muasisi wa uchafuzi tangu ule wa Zanzibar 2015. Tukiendelea namna hii kwa miaka mingine 5 tutakuwa hatuna nchi kabisa.
They know everything going on hawa ǰamaa hawaongei bure
Mashoga uislamini ndio mahali kwao ndio maana wamejsanaKwani wanaofungishana hadi ndoa za kufira.na huko vatican ni waislam??
Makafiri kwanini hamtumii akili?
Tatizo mnajifanya kusahahu ili kuhalalisha hoja zenu halafu mkiambiwa kobaz akili hakuna mnanuna , katoliki halija acha kukemea uovubhatavmara moja na limekuwa likikemea katika zama zote hata alipo kuwa madarakani magufuli ambaye ni mwenzao walimsema sana tu, ila mnajifanya mmesahauAaah kuuumbee....sasa tushajua hawa wanachokitaka mafa.la hawa
Hii kauli ndugu zangu waislam sio nzuri, mnatengeneza ubaguzi huko mbele tuje kutengwa na sisi tena sisi waislam ambao tupo neutral atufaidiki na utawala wa Samia wala wa kikristo.Kikwete ni Rais pekee mstaafu aliebakia,makafiri mnaumia nini akiombwa uzoefu wake na huyu alieopo madrakani??makafiri hizo chuki zenu peleni kwa yesu
Nyie makobazi vibwengo sanaaa na uelewa wenu uko chini sababu ya ubazazi wenu ndo mana maostadh wenu kutwa kulia lia njaa na sadaka mnatoa mia mbili mbili ,wenzenu wana mahospital ,wana mashule wana vyuo vikuu wana maprofesa wa kumwaga,Kikwete ni Rais pekee mstaafu aliebakia,makafiri mnaumia nini akiombwa uzoefu wake na huyu alieopo madrakani??makafiri hizo chuki zenu peleni kwa yesu
Mwishowe gari liingie kwenye mtaro kisa ubishani wa madereva wawili dereva wa zamani na dereva mpya,ndio maana Kuna dereva alisema anawashwawashwa😂We mtu umeendesha gari miaka kumi umestaafu gari kapewa mwingine lakini kutwa kumzonga mara naomba niendeshe kidg mara uombe ukondakta wakati gari ulikuwa nayo mda mrefu ungeweza kufanya chochote ukiwa dereva
NAkatia na muhuri wa mwanasheria hilo neno limtokee huyo mjinga mmojaSiku mtu asiyejulikana atatokea kusikojulikana atakupiga dole litachana jinsi na hata boxer na kuzama unakonyea na toka siku hiyo akili itakurudi na kuwa mtu mwema
Hata huyo mshauri wa mama enu alisomeshwa kwenye shule ya wakatoliki kichanyago tumekichonga wenywee hakitutishiGawio litatoka karibuni msilie ivo
😂😂😂😂Sasa mtu anakatazwa kumshauri demu wake au hawala wake?!...jambo la muhimu ni kumstahafisha mtu pamoja na hawala wake ili waende wakashauriane vizuri gesti
Mzee 😂😂 anaijua hip hop vyema sanaUyu mwamba kamchana direct hajapinda pinda hata kidogo 😂
waislamu always tunapenda kulialia sana ndio shida yetu zamani nami nilikua naamini tunaonewa nikaja kujua kama kuonewa ilikua zamani kwa sasa ni upuuzi tu, na tumethibitisha kuwa hatufai kuongoza nchi.Hivi Rais kua muislam Wewe unanufaika vipi au akiwa mkatoliki kana unufaiki na chochote Wewe ni mpumbavu unayefurahia udini. Na Tanzania haina miaka 10 ijayo Tanzania itakua imedumbukia kwenye vita ya Udini kabisa kama Nigeria ilivyo bado tuna nafasi ya kurekebisha Aya ni kutenda haki. Palipo na haki amani utawala. Waislamu akikemewa rais wanasema anakemewa kwasababu ya dini yake siku sijajua kwanini wanaegemea huko wakati Magufuli amepigwa spana sana hapa JF na kanisa katoliki lilimpiga spana sana Magu Sijawai kuona watu wakisema Magu alisemwa kwasababu ya ukatoliki wake. Mfano Fatma karume alikua anampiga sana spana Magu na na zitto sasa hivi wapo kimya Je walikua wanasukumwa na udini? Tufike kipindi tuache masuala ya Udini
🤣🤣🤣Huyu mzee Kikwete imeshindikana kabisa hata kumpiga chuma? Aondoke zamu yake imeisha, bado ana agenda gani?
Wanakusaidia wewe na wengine kama wewe kutoka kwenye ujinga.Kumeanza kunuka. Navowajua hao maTEC mpaka jambo lao litimie ndio watapoa
Jambo la kufurahisha ni kuwa jk huwa Hana time na vinabo.msoga amepigwa spana vilivyo