Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

tatizo lako mtumishi ni moja tuu, husifu & kuabudu mungu wa chatoo!.
Ukishamjua Mbwa wa Jirani si tu ni Mpumbavu bali pia ni Mwendawazimu na hatari kwa Uhai wako kwanini tu usimuepuke kwa ama Kuachana nae au kukaa nae mbali ili asije akakujeruhi vibaya pengine hata ukafikia kupoteza Maisha yako?

Vitu vingine wala havihitaji Akili Kubwa.
 
Sasa kama amekamatwa si muandamane mwende mkamtowe.
Si mlimuahidi kwamba mko nae bega kwa bega.
Yeye alidhani kucheza na amani ya nchi ni jambo dogo tu!
Haya aende akaanzishe huko sero kwanza.
Halafu akitoka atakuwa skillfully [emoji122]

Kudai katiba ya nchi ni kucheza na amani ya nchi!?
 
Nasikia sauti zile zile za wanafiki zinahukumu mtumishi wa Mungu- not this man , but Barabbas!
 
Maaskofu uchwara kama hawa wasiachwe tu kusambaza uongo na uzushi
Wanatakiwa waige mfano wa Mheshimiwa Askofu Rashidi ambae sasa hivi vijana wako Birmingham Alabama wengine Japan. Na boti za kuvulia ziko njiani, magari ya wagonjwa yako njiani kwa ajili ya kila tarafa. Halafu kwake watu hawafi kwa sababu anawafufua. Mfano kweli wa kuigwa.

Amandla....
 
Msiichonganishe Serikali Na Wananchi Wake
Itakuwa Ni Uchochezi Mchana Kweupe
Viongozi Wa Dini Wana Taratibu Zao Hasa Unapotaka Kuwakamata.
 
Back
Top Bottom