MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ukishamjua Mbwa wa Jirani si tu ni Mpumbavu bali pia ni Mwendawazimu na hatari kwa Uhai wako kwanini tu usimuepuke kwa ama Kuachana nae au kukaa nae mbali ili asije akakujeruhi vibaya pengine hata ukafikia kupoteza Maisha yako?tatizo lako mtumishi ni moja tuu, husifu & kuabudu mungu wa chatoo!.
Labda walimwambia aandike Kwanza msg ndo wamkamate! hii nayo ipo kwenye comedy, mbna wengine huwa hawapewi huo mudaWakati anaandika hiyo meseji alishakamatwa au alikuwa wapi
Imani ya kweli ni kuwa Mungu mmoja na yule wa Mbinguni tu.tatizo lako mtumishi ni moja tuu, husifu & kuabudu mungu wa chatoo!.
Sasa kama amekamatwa si muandamane mwende mkamtowe.
Si mlimuahidi kwamba mko nae bega kwa bega.
Yeye alidhani kucheza na amani ya nchi ni jambo dogo tu!
Haya aende akaanzishe huko sero kwanza.
Halafu akitoka atakuwa skillfully [emoji122]
Acha kuchanganya siasa na dini watu tuna madhambi ya kutosha yan balaaaHuyu Askofu ndiyo ali organize matembezi ya hiyari kudai Katiba mpya?
Wanatakiwa waige mfano wa Mheshimiwa Askofu Rashidi ambae sasa hivi vijana wako Birmingham Alabama wengine Japan. Na boti za kuvulia ziko njiani, magari ya wagonjwa yako njiani kwa ajili ya kila tarafa. Halafu kwake watu hawafi kwa sababu anawafufua. Mfano kweli wa kuigwa.Maaskofu uchwara kama hawa wasiachwe tu kusambaza uongo na uzushi
Baba askofu atakuja kukuongoza sala ya toba, usijaliAcha kuchanganya siasa na dini watu tuna madhambi ya kutosha yan balaaa
...ikiwa kudai katiba mpya ni kosa la jinai basi sasa wakawakamate wanaosherehesha Rais aongezwe mda wa kukaa madarakani kinyume cha katiba na Shelia zetu....Kudai katiba ya nchi ni kucheza na amani ya nchi!?
Usiyopenda kutendewa usiwatendee wengine johnthebaptistAskofu hatakiwi kuwa muoga.... angeenda tu!
...wakati mnamteua gwajima kuwa mgombea wa kaweAcha kuchanganya siasa na dini watu tuna madhambi ya kutosha yan balaaa
Wewe unakamatwa lini ?!. Kuomba katiba na tume huru ni kosa ?!Walimspare sana alitakiwa kukamatwa kitambo sana huyu BAKI
Pumzika hapo leo kesho utatoka. Wape neno la bwana mahabusu waliopo
Hao Polisi wanampa umaarufu wa bure tu huyo anayejiita askofu. Huyu ni wa kupuuzia tu.