UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Mshauri basi achukue form na yeye aje tupambane naye huku majimboni badala ya kujificha kwenye uaskofu.we kweli kilaza!
katiba inakataza kiongozi wa dini kushiriki siasa hapa tz?!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshauri basi achukue form na yeye aje tupambane naye huku majimboni badala ya kujificha kwenye uaskofu.we kweli kilaza!
katiba inakataza kiongozi wa dini kushiriki siasa hapa tz?!.
Usirudie kubishania usilojua. Unamlia yamini mzee wa ziwani! Anaenda hovyo. Kamata hovyo. Mbwembwe kibao. Busha nini? Kesho akikutana na changamoto ya upumuaji, je? Kuna yule awezaye kunyofoa roho na kuitupa jehanamu. Paulo na Sila walimwimbia milango ya gereza ikafunguka. Yeye aliyemfunika Farao kwa maji katika Bahari ya Shamu. Ni Yeye yuleyule zama hizo, zetu hizi na milele yote. Mwana Kondoo Ameshinda, Tumfuate!Hahaha sawa bwana
Siwaseme tuuu shida yao nikuishinikiza serikali itoe ruhusa yaa...
Hakika !True religious leaders tuliobakiwa nao
Mambosasa, njoo huku, Daudi kishaingia kutoka machungani, anaulizauliza, eti akimuua Goliath Mfalme atampa zawadi gani?
Wengine walishapotezwa...au!!!!!!!?True religious leaders tuliobakiwa nao
Wengine walishapotezwa...au!!!!!!!?
Wapigaji tu hao, kiongozi wa dini utahamasisha maandamano...!!!True religious leaders tuliobakiwa nao
Mtaenda kuliwa shauri yenu mfuateniUsirudie kubishania usilojua. Unamlia yamini mzee wa ziwani! Anaenda hovyo. Kamata hovyo. Mbwembwe kibao. Busha nini? Kesho akikutana na changamoto ya upumuaji, je? Kuna yule awezaye kunyofoa roho na kuitupa jehanamu. Paulo na Sila walimwimbia milango ya gereza ikafunguka. Yeye aliyemfunika Farao kwa maji katika Bahari ya Shamu. Ni Yeye yuleyule zama hizo, zetu hizi na milele yote. Mwana Kondoo Ameshinda, Tumfuate!
Sina comment
Asante Baba Askofu!
Siwaseme tuuu shida yao nikuishinikiza serikali itoe ruhusa yaa...