NKobi 1972
Member
- Jan 25, 2021
- 59
- 41
Lakini waliomba.kujibiwa ni jambo jingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtumishi badala ya kuhubiri Injili anashindana na serikali jamanii, hata kama sijawai kuwa askofu, lakini huyu Askofu Bora anipe huo uaskofu mimi nimwonyeshe jinsi uaskofu ulivyo
Ndoa za jinsia moja zifungwe kwenye nyumba za ibada haaaa haaaaKATIBA MPYAA TU!
Huyo tunae mwabudiBagonza na Mwamakula wanaabudu Mungu yupi?
Some consolation at least.
Mungu wa kweli, yaani Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo. Siyo yule Mungu wenu wa kuchonga aliyetangazwa na Lugola.Bagonza na Mwamakula wanaabudu Mungu yupi?
Wangekuwa wanamwamini huyo wangeomba tu Mungu mambo yakabadilika.Israel walitoka misri bila kurusha jiwe wala maandamano!!! Hawana nguvu yeyote ya KIroho wala MUNGU HAOMungu wa kweli, yaani Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo. Siyo yule Mungu wenu wa kuchonga aliyetangazwa na Lugola.
Hayajaenda bure, yatakuwa yamewaangusha 'mapepo' kadhaa wanaozuia demokrasia na haki kutendeka . Watakuja wengine wataanzia pale walipoishia...Bagonza na Mwamakula walifanya maombi eti Lisu awe Rais wa hii nchi!!.
Maombi yao yakaishia juu ya bati ayakufika Mbinguni kwa BABA.
Washalishwa limbwata la ccm.Wengine walishapotezwa...au!!!!!!!?
Lakini wanazunguka sana.......they must hit the target directlyTrue religious leaders tuliobakiwa nao
Kwani Lissu alishindwa ?Bagonza na Mwamakula walifanya maombi eti Lisu awe Rais wa hii nchi!!.
Maombi yao yakaishia juu ya bati ayakufika Mbinguni kwa BABA.
Mungu ni yule yule mmoja kaka - Mungu wa Nabii Mussa, Elia, Daniel, Ibrahim, Isaka, Yakob... ndiye huyo huyo tunayemwambudu wote.Bagonza na Mwamakula wanaabudu Mungu yupi?
View attachment 1703071
View attachment 1703070
View attachment 1703379
====
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKAMATWA KWA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA
KWA KOSA LA KUHAMASISHA MAANDAMANO HARAMU
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam leo tarehe 15.02.2021 limefanikiwa kumkamata anayejiita Askofu EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA wa kanisa la Uamsho la Moravian kwa kosa la kuhamasisha maandamano nchi nzima kwa njia ya ujumbe wa maneno katika mitandao ya kijamii. Taarifa ilikuwa ikihamasisha wananchi wajitokeze kwa wingi ili kuandamana wakishinikiza na kudai katiba mpya jambo ambalo ni kinyume na taratibu na sheria za nchi.
Aidha awali Jeshi la Polisi kupitia idara ya upelelezi kanda Maalum Dar es salaam walifanikiwa kupata taarifa hiyo na kumkamata Askofu huyo kwa ajili mahojiano kwa jambo hilo ambalo lilileta taharuki kwa umma katika mitandao ya kijamii.
Jeshi la Polisi linatoa onyo kwa yeyote ambaye ameshawishika na kupanga kuandamana kuahirisha mara moja nia hiyo ovu ambayo iko kinyume na sheria.
Pia ifahamike ni kosa kufanya maandamano bila kuwa na kibali cha Polisi ili kupewa ulinzi, na atakayejaribu kuandamana atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria. Hivyo wananchi wote wa jiji la Dar es salaam waendelee na shughuli zao za kukuza uchumi na kujipatia vipato vyao vya kila siku.
LAZARO B. MAMBOSASA– SACP
KAMANDA WA POLISI KANDA MAALUM
DAR ES SALAM.
15.02.2021
Zaidi, soma:
Askofu Mwamakula azungumzia "matembezi ya hiyari"!
ASKOFU MWAMAKULA AZUNGUMZIA "MATEMBEZI YA HIYARI" Baada ya Askofu Mwamakula kutangaza kuwa 'ataingia barabarani' kuongoza "Matembezi ya Hiyari" kwa nchi nzima ili kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na kuandika Katiba Mpya, watu wengi wametaka kujua zaidi kuhusiana...www.jamiiforums.com
Wanatia aibu mpk kuzimu. Walikosa maono.Polisi waliomkamata Mwamakula kwa kuhamasisha Katiba mpya wanajisikiaje leo
Wewe mpumbavu unajisikiajeWeldone. Hawa wachunaji wanatupotezea muda kwa kujiingiza kwenye siasa chini ya kisingizio cha neno la Bwana. Waunde vyama. Wavue majoho waonje joto ya jiwe wanayoonja akina Mbowe. Vinginevyo ni uonga wa kawaida unaotaka kuonyeshwa kama ushujaa.
[emoji38][emoji38][emoji38]Wewe mpumbavu unajisikiaje