Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kuongea na Vyombo vya Habari vya ndani na nje ya nchi

Mbona waziri mkuu alikuwa ndio boss wake bwana Sumaye mlitaka kumpeleka ikulu akauze vingine tena?

Hivi huko chadema wote mna akili hizi hizi?
 
Huyu ni tutu wa bongo
 

Atazingirwa tena
 
Upinzani imara na wenye matokeo chanya ni ule wa WATU bila kuunganishwa na vyama bali changamoto zao za pamoja. CCM inaenda kukutana na aina hii upinzani ndani ya chama, Serikali na nje.
 

Hahaha
Ili ufike kwa baba Askofu pitia kaunta ya polisi hapo Rift Valley watakuelekeza home kwake
 
Huyu Askofu Mwanaharakati, mbona ni tapeli hivi. Anatumia platform ya kidini kuendeleza siasa za kichama, huyu Askofu ni shabiki mkubwa wa chadema, na platform anayoitumia ni ya umma wote, Dini hazina vyama. Jee kanisa lake ni la wana Chadema tuu?
 
Tumepuuuza huyo!

Hata aende akaongee kule hard talk kama mwenzie mbelgiji hana atakachopata na wala hakuna wa kumsikiliza.

Mmepuuza nyie wenye kiburi cha ajira za wanaume, lakini sisi tunamkubali na tutamsikiliza.
 
sasa uliumia nini badala nawewe ukanunue!!!! , swala la wewe kukosa hela lisikupe hasira.
 
Hili Taifa lina vilaza wengi sana.
Mambo ya msingi hawajui,haki zao hawajui,ni waoga,akijitokeza mtu mmoja kuwaligania wanambeza.
Hao ndo Watanzania ndugu wao wanaamini katiba ni siasa na katiba ina mambo ya uchaguzi tu.Hili Taifa kuna kazi kubwa kukombolewa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mdude mlikuwa mnampa moyo kama hivi alipotiwa nyavuni mkala kona kama sio nyie vile
Kwani wale waliokuwa wanamuunga mkono Mandela alipofungwa na makaburu, wote walitaka wakafungwe naye?
 
CCM inaenda kukutana na aina hii upinzani ndani ya chama, Serikali na nje.
Hapana. CCM na dola yake itakachokutana nacho ni “miguno tu na vilio vya chinichini” kutoka ndani na nje ya chama. During that time when it matters most, hakuna wa kusimama na kuhesabiwa.

Upinzani wa aina hii (kulalamikia Twitter na JF) wala hauna impact kwa CCM na Serikale yake na ndio maana kila uchaguzi mkuu ukifika, huwa wanapora mchana kweupe kwani walishapredict reaction za watu (watu watatusa na kununa kidogo, maandamano yataitishwa, polisi wataingia mtaani, kila mtu atamute kwake huku akicheck maendeleo mitandaoni, tutasahau baada ya wiki mbili na life linasonga as if hakuna kilichotokea)

Hii episode itajirudia tena mwaka 2025, 2030, 2035...
 
Huyu askofu kaamua kwenda jehanamu Mungu alimtuma kuhubiri injili sio kuhubiri katiba mpya au tume huru za uchaguzi
 
Hivi huyo ni askofu au mwanasiasa? Atakuwa anatumiwa na mabeberu, siyo bure
Unaongea nyuma ya keyboard huku mkia umeingiza ndani,umeufyata...............wabongo bhana ni kama ukimfungia jogoo bandania anapiga kelele lakini hawezi kufungua mlango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…