Uchaguzi 2020 Askofu Gamanywa: Mungu amemteua Rais Magufuli kuwa kiongozi wa Tanzania, uchaguzi ni utaratibu wa kikatiba tu!

Uchaguzi 2020 Askofu Gamanywa: Mungu amemteua Rais Magufuli kuwa kiongozi wa Tanzania, uchaguzi ni utaratibu wa kikatiba tu!

Muulize huyo Gamanywa wako, tangu lini mwenye hofu ya Mungu akateka watu, kuamuru watu wapigwe risasi na akabambikia watu makesi?
 
Asikofu njaa anamsemea Mungu yupi? Maana Mungu wa wote hawezi kutaka Mkoloni mweusi kaburu mtesi muonevu mnyanyasaji arejee ikulu tena
 
Barua ya wizara ya mambo ya ndani huyu haimuhusu?
 
Maskofu njaa hakuna kitu hapo ndio maana kafupi kama mavi ya mwisho. Kina leta usuukuma
 
Mwambie akadanganyane na mamke.
Askofu Gamanywa amesema kuna watu wanamzushia kuwa yeye ni usalama wa taifa ila kiukweli yeye ni " usalama wa mbinguni"
Anasema yeye huwa habwabwaji kwa sababu yuko well informed na ndio sababu anawataka wampigie kura Rais Magufuli kwa sababu ni mtu mwenye hofu ya Mungu.

Askofu Gamanywa amesema amepokea vitisho kwamba atakiona cha mtemakuni lakini yeye haogopi chochote.

Gamanywa amesisitiza kuwa Rais Magufuli kuidhibiti Corona ni ishara kuwa Mungu wa mbinguni ameshamteuwa kuwa Kiongozi wa Tanzania na tarehe 28 utakuwa ni utaratibu wa kutekeleza matakwa ya kikatiba tu.

Uchaguzi huu ni kati ya Baraka na Laana tena ni kati ya Uzima na mauti hivyo watanzania chagueni baraka, chagueni uzima.
Amehitimisha askofu Gamanywa.

Source Shallom tv/ WAPO radio

Maendeleo hayana vyama!
 
Tunachojua huyu ni Mnyarwanda. Hawa ndiyo wanatuharibia nchi yetu, mnafiki mkubwa
 
Back
Top Bottom