PreGE2025 Askofu Gwajima ajibu mapigo. Asema Gwajimanization ni kusema ukweli hata kama hauwapendezi walioko madarakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Watu wanabadilika ulaghai na ujima vinaondoka CCM hana chake kama uchaguzi ni huru na haki!
Kwa hichi anachokuja nacho Gwaji, akigombea No election itaenda kinyonge sana mkuu.
 
Reactions: Tsh
Mimi nawashauri CHADEMA wabadili gia angani. Waamue kushiriki uchaguzi na wamuweke Gwajima kuwa mgombea. Watatikisa haswa na watapata wabunge wengi kwa Tume hii hii. Mama atatangazwa kinguvu kuwa Rais lakini atakuwa amepata jibu. Watu kutekwa na kuuwawa iwe Agenda ya uchaguzi!
 
Kama ulimaanisha Chadema watamshabikia huyoi jamaa na kumsapoti kwenye mbio za urais sahau...Chadema imeunga mkono kauli ya Gwajima kea kusema ukweli ila haimkubali Gwajima kwasababu wanamjua tapeli.
Namaanisha wadau.
 
Huyo hajui kuwa Gwajima ndo anafanya watu waione CCM ni kukundi ya watu wa hovyo sana!
No reform No election ndo anaiongezea moto Gwajima!
Naam kwasasa wananchi tuna imani na Chadema imetoka kwenye kikundi cha watu imerudi kwenye mikono yetu.
 
Kiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
Protokali za wapi hizo faza za Nchi Dunia ya tatu au mbona tunaona huko USA Trump anajibiwa tena wazi wazi kwenye vikao na huko kusini Malema muda wote yupo na Ramaphosa shida wale jamaa waliotupa vitabu vya juma na roza walitudumaza sana ubongo kila kitu tunaamini hakiwezekeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…