GE2025 Askofu Gwajima amezungumza na vyombo vya habari ameendelea kupinga utekaji na kusisitiza umuhimu wa Reforms

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi Tundu lissu na Mama nani ni mzarendo?
 

Machafuko yapi tena CCM wanataka kutupeleka? Uchaguzi upo na vyama viko tayari kushiriki ambao awataki kushiriki sio lazma kumbuka.
 
CCM watalazimisha uchaguzi kufanyika na utafanyika na watashinda. Je mtawala atatawala kweli au atakuwa kivuli.

Waliokuwepo uchaguzi wa 2020 waliona yaliyompata mwenda zake mpaka akajificha Chato mwisho wa siku akajiondokea zake taratibu.

Watu wakala mambuzi wakashinda mabaa wanasherekea.

Ushauri ridini kwa watanzania mfanye uchaguzi wa haki na amani ili kiongozi apange na aletee maendeleo ya kweli bila kulaumiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…