Tuliyataka wenyewr kwa mihemuko yetu. Hivi kama kichaa Lisu tungemuacha aropoke tu halafu Gwajiboy tungemjibu kwa kumfukuza kwenye nafasi ya IGP na Waziri wa mambo ya ndani tukala kichwa na kuanzisha uchunguzi haya mambo yangekuwepo???????????Mambo yako faya sana. Ujue CCM wako muda mbaya sana ukizingatia kuna watu wamekatwa kama Ummy,Mpina na issue ya Polepole. Kusema kweli kila kona moto kweli kweli
Naona Marcy anazingua!!Wew unaona je?
Sawa rubbish mbona mnahangaika, Mna roho ya kukataliwa na ummaSasa ummy au mpina au polepole wanna impact Gani? Rubbish
Muulize, ametoa namba ya wasapu kwa mawasilianoTunampatia wapi
Huyo tapeli ni nani nchi hii mpk achukue attention ya wataΓ±zania? Umaarufu wa kipuuziWakuu,
Kupitia ukurasa wake wa instagram Askofu Gwajima ameandika kuzungumza na vyombo vya habari leo Julai 16, 2025 saa saba mchana
Je leo atatoa povu gani kwa umma?
kwa hio kugombea ubunge ni kosa? kwa akili yako na matusi yako kama haya, wewe hufai kujadili. nakuona mjinga fulani tu.Huna akili, shenzi type. Kuna askofu wa kikatoliki umewahi kumsikia amegombea ubunge ?
Usiwe unakurupuka kama headless chicken, mtoto mdogo usiye na adabu.
Ninachoamini hakuna watu wepesi kama CCM,kwa hii misukosuko wanawatengenezea Chadema wangekuwa wao chama kingekuwa kilichakufa siku nyingi,View attachment 3407756
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima na Mbunge wa Kawe (CCM), Dkt. Josephat Gwajima kupitia Ukurasa wake wa Instagram ametoa taarifa kuwa atazungumza na Vyombo vya Habari leo Julai 16, 2025.
Ikumbukwe Gwajima amekuwa kwenye mvutano na Serikali ya CCM tangu alipotoa waraka wa kukemea matukio ya Utekaji na Mauaji ya Watu yanayoendelea nchini.
Swali ni lile lile, Mapolisi wa CCM wataruhusu hiyo press?
Mkuu hakuna awamu yeyote ya utawala wa ccm iliyokubaliwa na umma kwa 100%na haitatokea ...mama mpaka 2030Sawa rubbish mbona mnahangaika, Mna roho ya kukataliwa na umma
Wapi nimezingua ??kuuliza swali tuNaona Marcy anazingua!!
Vyuoni, au ulikuwa Mirembe wakati anapewa? Tena anazo nyingi za vyuo mbalimabali duniani. We bwege usimfananishe Rais wetu na hilo limama lako lililoshindwa kukufunza adabu. Umezaliwa jalalani? Mbn huna adabu hivyo?Samia kazipatia wapi? πππ
Kinachoongoza watu ni cheo au dhamira ya mtu..? unashindwa kuelewa jambo dogo km hili, cheo cha kuwa askofu kimetajwa kwenye biblia..na di uaskofu tu kuna ushemasi pia nk..(1Tim 3:1-10) bila kujali dini au imani mtu yeyote anaweza kuwa askofu kulingana na sifa zilizotajwa..km maaskofu wakatoliki hawaruhusiwi kuwa viongozi nje ya mfumo wao wa imani ni sawa kwao lkn si sawa kwa wengine..heshimu hizo tofauti sabab wewe huna kipimo cha kujua ukamilifu wa imani au dini unaanzia wapi na kuishia wapi..! Mungu hutoa karama kwa kila mtu ili atumikie kusudi lake sawasawa na karama aliyopewa, km ni shemasi na ana sifa za kuwa mbunge ni yeye na dhamira yake na Mungu wake..wengine hatuhusiki kumtolea uamuzi!Huna akili, shenzi type. Kuna askofu wa kikatoliki umewahi kumsikia amegombea ubunge ?
Usiwe unakurupuka kama headless chicken, mtoto mdogo usiye na adabu.
Natania mama...!Wapi nimezingua ??kuuliza swali tu
Mmmmm
Huijui CCM wewe hao ht siyo vidagaa ni sisimizi. Lowassa aloondoka na viongozi wakubwa haikutetereka na wakarudi kimya kimya sembuse hao sisimizi?mpaka huu mwaka uishe ccm watakuwa wamepelekeana moto sio mchezo
We Babu Lengo lako kunichokoza nimeliona hiloNatania mama...!
Tunatusibiri press ya Gwajiboy
Anatangaza kurudi nyumbani Chadema πSafi sn tusikie mambo mazuri
We bd ni mtoto, CCM ilimnyanganya urais aliyekuwa Rais wa Zanzibar hayati Aboud Jumbe kule Dodoma kwa kutaka kuvunja muungano, chama kiliimarika zaidi, kumbuka yule alikuwa Rais wa nchi, naona mnajifurahisha tu kwasababu ya utoto wenu. Eti Gwajima naye awe na impact? Huyu hoja we tulia jifunze kwanzaMwaka huu Watauana sana
Sawa huyo fisadi Luwasa alikuwa ana nguvu gan zaidi ya KUJINYEA NYEA tu na kutuzuga na mabilioni yake uchwara ya kupora?Huijui CCM wewe hao ht siyo vidagaa ni sisimizi. Lowassa aloondoka na viongozi wakubwa haikutetereka na wakarudi kimya kimya sembuse hao sisimizi?