#COVID19 Askofu Gwajima ana chuki binafsi dhidi ya Rais Samia, hili la chanjo ni kupitishia tu chuki yake

#COVID19 Askofu Gwajima ana chuki binafsi dhidi ya Rais Samia, hili la chanjo ni kupitishia tu chuki yake

Leo nimekaa nikaiskiliza video nzima ya Askofu Gwajima Youtube kitu nilichogundua ni kwamba Gwajima ana chuki binafsi kwa Rais Samia but ametumia kigezo tu cha chanjo kupitisha chuki zake.

Point kubwa aliyozungumza Gwajima ni kwamba tukichanjwa tunaweza kuwa tumewekewa chip na wazungu wakawa wanatuvcontrol wanavyotaka, mara baada ya muda tunaweza kuwa mazombi, mara chanjo ni mpango wa shetani na taasisi yake.

Mara nyingi alikuwa anakomaa kumu attack mtu japo alikuwa hataji lakini kwa akili ya kawaida utaelewa. Gwajima ametoa lugha za kashfa kwamba wanaoruhusu chanjo akili zao wameweka likizo. Mara anadai wamelipwa hela, mara anasema ni taasisi za mashetani.

Gwajima akawaambia waumini wake kuna watu wanawaambia mchome ila wao hawachomi wanachoma maji. Mwisho wa siku kamaliza kwa kusema ataombea wote wanaochoma wafe aliyechomwa afe anayechoma afe, hata atakayechoma maji afe.

Hii ni chuki ya wazi wazi, Gwajima hana point za msingi juu ya kupinga chanjo wala hana point za kisayansi anaongea upotoshaji, lakini kubwa inaonekana anamchukia sana Rais Samia.

Kama Gwajima anajua mabeberu wanampango wakutumaliza basi, angewaambia waumini wake wasikanyage tena hospitali maana kule ndio zimejaa dawa za kibeberu.
Gwajima hafai ni mchanganishi na mkabila mkubwa sijui anaaminiwa na nani nchi hii isipokuwa wajinga wakubwa.
 
Gwajima ni loud speaker tu ya kundi kubwa lisilotaka chanjo hasa watu wa chini ambao ndio majority ya wananchi alichofanya ni kuistua serikali ya mama Samia kuwa be careful Kuna issues!!

Mama Samia kwenye swala La chanjo anakubalika zaidi kwa wateule wake na wahindi na matajirri wasafiri nje

Gwajima kasimama na low class ambao ndio wengi na wapiga kura wengi .

Mbowe alitoa ushauri kuwa watu wote wachanjwe kwa lazima lengo hasa lilikuwa kutaka nchi isitawalike upinzanani upate mwanya sababu anajua fika kuwa makundi makubwa had a low class hawataki chanjo

Usalama waende mbali Gwajima Kuna kundi analisemea

Na Mama Samia ana kundi analisemea wale wa matawi ya just akina leo wako Washington seminar kesho wako Japan nk

Ndio maana hata Membe kaamua kuistua serikali kuwa huu msomamo wa chanjo kipindi Cha Magufuli ulikuwa wa serikali au raisi Magufuli binafsi na huu wa Sasa ni wa Nani hasa? Binafsi au serikali?

Anyway Gwajima katimiza wajibu wake na Membe katimiza

Ninachokiona kwenye chanjo no vita yaani class sturuggle ya went nacho na wasio nacho

Wasio nacho hawataki chanjo went nacho kuanzia vyeo fursa nk ndio wanataka

Who will win tutaona mbele kama ilivyotokea Class struggle 2015 wanyonge wakashinda akapewa Magufuli na Lowasa na mafisadi wakatupwa kwenye dust bin
 
Nani atamfunga paka kengele Gwajima kajitoa muhanga na wengine watafuata
 
Serikali nayo inakuwa kama haitambui njia sahihi za kumfitinisha Gwajima na wafuasi wake. Waanze tu kupiga promo za nguvu kuwa chanjo ya UVIKO 19 inaongeza makalio kwa akina mama pamoja nguvu za kiume kwa akina baba waone kibao kitakavyomgeukia [emoji41]
 
Leo nimekaa nikaiskiliza video nzima ya Askofu Gwajima Youtube kitu nilichogundua ni kwamba Gwajima ana chuki binafsi kwa Rais Samia but ametumia kigezo tu cha chanjo kupitisha chuki zake.

Point kubwa aliyozungumza Gwajima ni kwamba tukichanjwa tunaweza kuwa tumewekewa chip na wazungu wakawa wanatuvcontrol wanavyotaka, mara baada ya muda tunaweza kuwa mazombi, mara chanjo ni mpango wa shetani na taasisi yake.

Mara nyingi alikuwa anakomaa kumu attack mtu japo alikuwa hataji lakini kwa akili ya kawaida utaelewa. Gwajima ametoa lugha za kashfa kwamba wanaoruhusu chanjo akili zao wameweka likizo. Mara anadai wamelipwa hela, mara anasema ni taasisi za mashetani.

Gwajima akawaambia waumini wake kuna watu wanawaambia mchome ila wao hawachomi wanachoma maji. Mwisho wa siku kamaliza kwa kusema ataombea wote wanaochoma wafe aliyechomwa afe anayechoma afe, hata atakayechoma maji afe.

Hii ni chuki ya wazi wazi, Gwajima hana point za msingi juu ya kupinga chanjo wala hana point za kisayansi anaongea upotoshaji, lakini kubwa inaonekana anamchukia sana Rais Samia.

Kama Gwajima anajua mabeberu wanampango wakutumaliza basi, angewaambia waumini wake wasikanyage tena hospitali maana kule ndio zimejaa dawa za kibeberu.
Hakuna siku aliwahi kuwa na point, kwenye dini wala siasa.
Aliingia kwenye siasa kwa sababu ya usukuma tu, ni ili aweze kupiga mpunga na msukuma mwezie mwendazake
 
chama chake (ma ccm) & serikali yake wanaamini ktk chanjo, so kama yeye hana imani na wenzie na yu miongoni mwao atoke (ajiuzulu)....simpo tu!.
Kwani kamanda huamini katika uhuru wa mawazo??
 
Leo nimekaa nikaiskiliza video nzima ya Askofu Gwajima Youtube kitu nilichogundua ni kwamba Gwajima ana chuki binafsi kwa Rais Samia but ametumia kigezo tu cha chanjo kupitisha chuki zake.

Point kubwa aliyozungumza Gwajima ni kwamba tukichanjwa tunaweza kuwa tumewekewa chip na wazungu wakawa wanatuvcontrol wanavyotaka, mara baada ya muda tunaweza kuwa mazombi, mara chanjo ni mpango wa shetani na taasisi yake.

Mara nyingi alikuwa anakomaa kumu attack mtu japo alikuwa hataji lakini kwa akili ya kawaida utaelewa. Gwajima ametoa lugha za kashfa kwamba wanaoruhusu chanjo akili zao wameweka likizo. Mara anadai wamelipwa hela, mara anasema ni taasisi za mashetani.

Gwajima akawaambia waumini wake kuna watu wanawaambia mchome ila wao hawachomi wanachoma maji. Mwisho wa siku kamaliza kwa kusema ataombea wote wanaochoma wafe aliyechomwa afe anayechoma afe, hata atakayechoma maji afe.

Hii ni chuki ya wazi wazi, Gwajima hana point za msingi juu ya kupinga chanjo wala hana point za kisayansi anaongea upotoshaji, lakini kubwa inaonekana anamchukia sana Rais Samia.

Kama Gwajima anajua mabeberu wanampango wakutumaliza basi, angewaambia waumini wake wasikanyage tena hospitali maana kule ndio zimejaa dawa za kibeberu.
Gwajima ni mjanjamjanja mmoja kama MZEE MPILI.....

Nitaishangaa sana CCM kwa kumuachia uanachama wake .....

HAKUNA la mno analotupatia....hakuna!!!

CCM iliwahi kuwafukuza akina hayati Maalim Seif Sharrif na Lyatonga Mrema ,Gwajima hana kaliba ya KISIASA KUWAZIDI HAO.....

HASHTAG GWAJIMA AFUKUZWE CCM

#GwajimaAfukuzweCCM
#NchiKwanzaKablaYaNafsiZetu
#SerikaliMbiliMilele
 
Sijui Gwajima anatafuta nini?
Hayuko kitabibu,wala hayuko na msimamo wa serikali na chama chake.
 
Kama chanjo ni hiyari kwanini inatumika nguvu kubwa kuwaswaga watu wapatiwe chanjo........

Katika uhuru wa kutoa maoni kwenye chanjo kwanini uhuru unaotakiwa ni wa kukubali chanjo lakini wa kupingana na chanjo unaonekana sio uhuru bali ni uchonganishi.......??

Kwanini serikali ikatae kuwajibika kwa chanjo inayoinadi kuwa ni salama kwa asilimia zaidi ya 99....??

Nikishachanjwa nitapatwa na nini kuzito ambacho serikali kama mlezi wa raia hataki kuwajibika nacho......??

Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake
Maswali murua.

Wakikujibu nitag mkuu.
 
chanjo ni hiyari lakini serikali inao wajibu wa kuwashawishi wananchi kupata chanjo ili kupunguza kasi ya maambukizi, kisha wananchi kwa hiyari yao watajifikiria maamuzi,

lakini sio asimame mwananchi mwingine aanze kuhubiri kwenye majukwaa kuzuia watu na kutoa taarifa za uongo? who is him? askofu Rashidi ni mpumbavu
Taarifa alizotoa za uongo ni zipi?Ametoa taarifa za kitaalamu 100%.Tupe taarifa mbadala,otherwise
wewe ni ki-damper tu,queit.
 
Ni kawaida yao maaskofu kuwatukana marais wenye imani ya kiislamu huo ni muendelezo tu muda si mrefu utamsikia Pengo naye anachomoza na baadae wataanza kutoa waraka,hawa watu ni Udini tu ndio unawasumbua.
 
Kuwa na Chuki ni Haki yake..., Ila Upotoshaji ni Kosa... Aendelee kuchukia ila asipotoshe
 
Shambulia hoja kwa hoja na sio mto hoja......matusi yako dhidi ya mto hoja unadhihirisha kuwa una chuki binafsi na ndugu Gwajima.......

Wananchi hawataki tu kushawishiwa kuchukua chanjo bali wanataka kueilimisha na matokeo watakayokumbana nayo baada ya kudungwa chanjo......matokeo ambayo serikali imekataa kuwajibika nayo........

Serikali yenye watendaji wenye akili timamu inawashawishi vipi wananchi wapate chanjo ambayo wao wenyewe wanasema hawatawajibika kwa lolote baada ya wewe kupata chanjo.....??

Sasa kama serikali imekataa kuwajibika kwa kitachonipata mimi mwananchi wa kawaida napata wapi ujasiri wa kuchukua chanjo.....??

Tunaona mataifa mengine wananchi wanapewa chanjo na serikali husika inawajibika na matokeo ya chanjo........

Nitakuwa nimekosea nikisema kuwa serikali inacheza kamari na maisha ya wananchi wake....??
Gwajima y
Na yeye apewe kesi ya ugraidi!
CIA operative at work.
 
Na yeye apewe kesi ya ugaidi!
KWAKWELI ... maana kama ni CHOKOCHOKO basi za Gwajima ni kiboko yao!🤣
1627646870723.png
 
Back
Top Bottom