#COVID19 Askofu Gwajima ana chuki binafsi dhidi ya Rais Samia, hili la chanjo ni kupitishia tu chuki yake

#COVID19 Askofu Gwajima ana chuki binafsi dhidi ya Rais Samia, hili la chanjo ni kupitishia tu chuki yake

chanjo ni hiyari lakini serikali inao wajibu wa kuwashawishi wananchi kupata chanjo ili kupunguza kasi ya maambukizi, kisha wananchi kwa hiyari yao watajifikiria maamuzi,

lakini sio asimame mwananchi mwingine aanze kuhubiri kwenye majukwaa kuzuia watu na kutoa taarifa za uongo? who is him? askofu Rashidi ni mpumbavu
CIA operative at work!Anyway Gwajima aliyosema ni sahihi kitaalamu 100%.Mwenye hoja mbadala atuletee,hatutaki upupu na udaku
 
Mimi baba askofu angejiekekeza kwenye kucheza porn ingekuwa na tija kwake
 
Gwajima ni loud speaker tu ya kundi kubwa lisilotaka chanjo hasa watu wa chini ambao ndio majority ya wananchi alichofanya ni kuistua serikali ya mama Samia kuwa be careful Kuna issues!!

Mama Samia kwenye swala La chanjo anakubalika zaidi kwa wateule wake na wahindi na matajiti wasafiri nje

Gwajima kasimama na low class ambao ndio wengi na wapiga kura wengi .

Mbowe alitoa ushauri kuwa watu wote wachanjwe kwa lazima lengo hasa lilikuwa kutaka nchi isitawalike upinzanani upate mwanya sababu anajua fika kuwa makundi makubwa had a low class hawataki chanjo

Usalama waende mbali Gwajima Kuna kundi analisemea

Na Mama Samia ana kundi analisemea wale wa matawi ya just akina leo wako Washington seminar kesho wako Japan nk

Ndio maana hata Membe kaamua kuistua serikali kuwa huu msomamo wa chanjo kipindi Cha Magufuli ulikuwa wa serikali au raisi Magufuli binafsi na huu wa Sasa ni wa Nani hasa? Binafsi au serikali?

Anyway Gwajima katimiza wajibu wake na Membe katimiza

Ninachokiona kwenye chanjo no vita yaani class sturuggle ya went nacho na wasio nacho

Wasio nacho hawataki chanjo went nacho kuanzia vyeo fursa nk ndio wanataka

Who will win tutaona mbele kama ilivyotokea Class struggle 2015 wanyonge wakashinda akapewa Magufuli na Lowasa na mafisadi wakatupwa kwenye dust bin
Kwa iyo matajiri tu ndo wanakufa kwa korona?? Nyie wapuuzi wa sukuma gang mnazidi kujionesha ni watu wa aina gani na sasa ndo mtajua mama aliposema ukimzingua anakuzingua alikuwa anamaanisha nin?
 
Gwajima yuko sahihi 100%.Do not trust any world goverment today,jiamini mwenyewe.Fanya independent research ujiridhishe kwamba hizi chanjo ni salama.
Unaongea yote alafu una ndui mkononi. Punguani Kweli wewe
 
anapotosha umma wa watanzania, anaifitini Serikali yake ya CCM kuhusu chanjo waziwazi hence anamkwamisha Rais.
Gwajima kama ana ushawishi mkubwa kuwaaminisha umma wa watanzania kuliko serikalo happy Kuna tatizo serikalini kuhusu uwezo wao wa kutumia ushawishi kushawishi umma

Ushawishi was umma huwezekana pale tu kiongozi anapisimama na umma kuwa unataka Nini?

Gwajima anashughuloka na watu wa chini wasoo na bima ya afya ambao hospital wakienda huwa hawana kadi ya bima ya afya wala hela ya kumuona daktari Wala kununua dawa ambao huishia tu kwenye kuomba Mungu yawe maombi feki au original

Wataka chanjo na wategemea ushauri wa madaktari ni wale wenye bima za afya na pesa za dawa wakikohoa tu bili kwa bima ya afya nk hao ndio watetezi wakubwa wa chanjo

Mitaani kifupi kwenye majority Gwajima anaungwa mkono Ana ushawishi kuliko serikali

Serikali imeshindwa kabisa kushawishi mitaani zaidi ya kutumia measures za vitisho nk

Ushawishi zero

Magufuli kaondoka lakini alikuwa na ushawishi mkubwa mno kwa majority watu wa chini ambao ndio wapiga kura wengi

Hili la ushawishi kwa watu wa chini walio majority serikali ijipange bado chini haisomeki

Pita mitaani watu wa chini wengi hawataki chanjo Wala kuzuiwa kujazana kwenye daladala au popote kwenye misongamano nk
Viongozi ndio wanaokubali kwa hofu tu kitumbua Chao kitupwe chini na Mama Samia kwa kuwapiga chini

Mwambieni ukweli Mama Samia na champion wake wa Diplomasia ya Corona Mama Mulamula Waziri wa Mambo ya nje kuwa hiyo Diplomasia ya Corona huku mitaani hawana mpango nayo na majority hawataki chanjo watu wa chini
 
Kwa iyo matajiri tu ndo wanakufa kwa korona?? Nyie wapuuzi wa sukuma gang mnazidi kujionesha ni watu wa aina gani na sasa ndo mtajua mama aliposema ukimzingua anakuzingua alikuwa anamaanisha nin?
Huo ndio ukweli the haves wengi ndio wanaondoka kuliko have nots

Ushahidi uko mitaani na vijijjini waulize watu wa chini Nani wamekufa kwa corona wiki hii hata huko kwenu.Watu wa chini?
 
kwamba chanjo zina chip, tukichomwa wazungu wanakua wanatukontroo kwenye kompyuta zao, ndio usahihi huo?
Yes,100% true!Mimi najua ni sawa kwa kuwa nimefanya utafiti wa kina.Kwa taarifa yako mnacho chomwa ni Micrososoft Windows 666 mRNA Operating System, ambayo kazi yake ni ku-operate DNA.
They call it a software of life.Hii software of life will make it possible to change your DNA and therefore make you less human.Kwa kuchomwa hii jab,you will also be connected to the cloud data base through a microchip!

Mkuu note this,mhudumu anayekuchoma wewe analipwa 2,000,000/=,Marekani leo wamesema atakayekubali chanjo atapewa US$100!Isn't hat enough to tell you that someting is wrong with the so called vaccine?Wake up mnashabikia msichokijua kabisa.
 
Unaongea yote alafu una ndui mkononi. Punguani Kweli wewe
Wewe ni ki-damper and compromized,ku-argue na wewe ni kupoteza
muda.So kama wazazi wangu walifanya makosa niendelee kufanya makosa,stupid.
 
Jina la Gwajima ni jina la laana
Leo nimekaa nikaiskiliza video nzima ya Askofu Gwajima Youtube kitu nilichogundua ni kwamba Gwajima ana chuki binafsi kwa Rais Samia but ametumia kigezo tu cha chanjo kupitisha chuki zake.

Point kubwa aliyozungumza Gwajima ni kwamba tukichanjwa tunaweza kuwa tumewekewa chip na wazungu wakawa wanatuvcontrol wanavyotaka, mara baada ya muda tunaweza kuwa mazombi, mara chanjo ni mpango wa shetani na taasisi yake.

Mara nyingi alikuwa anakomaa kumu attack mtu japo alikuwa hataji lakini kwa akili ya kawaida utaelewa. Gwajima ametoa lugha za kashfa kwamba wanaoruhusu chanjo akili zao wameweka likizo. Mara anadai wamelipwa hela, mara anasema ni taasisi za mashetani.

Gwajima akawaambia waumini wake kuna watu wanawaambia mchome ila wao hawachomi wanachoma maji. Mwisho wa siku kamaliza kwa kusema ataombea wote wanaochoma wafe aliyechomwa afe anayechoma afe, hata atakayechoma maji afe.

Hii ni chuki ya wazi wazi, Gwajima hana point za msingi juu ya kupinga chanjo wala hana point za kisayansi anaongea upotoshaji, lakini kubwa inaonekana anamchukia sana Rais Samia.

Kama Gwajima anajua mabeberu wanampango wakutumaliza basi, angewaambia waumini wake wasikanyage tena hospitali maana kule ndio zimejaa dawa za kibeberu.
 
Huyu ndiye mfadhili mkuu wa Sukuma Gang. Ila Gwajima ana 'watu' jamani hadi sasa Gwajima 3 CCM 0
 
Wewe ni ki-damper and compromized,ku-argue na wewe ni kupoteza
muda.So kama wazazi wangu walifanya makosa niendelee kufanya makosa,stupid.
Walifanya makosa gani?? Chanjo ya ndui imekuletea madhara gani mpuuzi wewe?
 
Huo ndio ukweli the haves wengi ndio wanaondoka kuliko have nots

Ushahidi uko mitaani na vijijjini waulize watu wa chini Nani wamekufa kwa corona wiki hii hata huko kwenu.Watu wa chini?
Kwa iyo wanaokufa Arusha na Kilimanjaro wote ni the haves???
 
Kama chanjo ni hiyari kwanini inatumika nguvu kubwa kuwaswaga watu wapatiwe chanjo........

Katika uhuru wa kutoa maoni kwenye chanjo kwanini uhuru unaotakiwa ni wa kukubali chanjo lakini wa kupingana na chanjo unaonekana sio uhuru bali ni uchonganishi.......??

Kwanini serikali ikatae kuwajibika kwa chanjo inayoinadi kuwa ni salama kwa asilimia zaidi ya 99....??

Nikishachanjwa nitapatwa na nini kuzito ambacho serikali kama mlezi wa raia hataki kuwajibika nacho......??

Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake
Mkuu KikulachoChako nachukua comment yako kama ilivyo naanzisha uzi.

Umeongea point sana
 
Leo nimekaa nikaiskiliza video nzima ya Askofu Gwajima Youtube kitu nilichogundua ni kwamba Gwajima ana chuki binafsi kwa Rais Samia but ametumia kigezo tu cha chanjo kupitisha chuki zake.

Point kubwa aliyozungumza Gwajima ni kwamba tukichanjwa tunaweza kuwa tumewekewa chip na wazungu wakawa wanatuvcontrol wanavyotaka, mara baada ya muda tunaweza kuwa mazombi, mara chanjo ni mpango wa shetani na taasisi yake.

Mara nyingi alikuwa anakomaa kumu attack mtu japo alikuwa hataji lakini kwa akili ya kawaida utaelewa. Gwajima ametoa lugha za kashfa kwamba wanaoruhusu chanjo akili zao wameweka likizo. Mara anadai wamelipwa hela, mara anasema ni taasisi za mashetani.

Gwajima akawaambia waumini wake kuna watu wanawaambia mchome ila wao hawachomi wanachoma maji. Mwisho wa siku kamaliza kwa kusema ataombea wote wanaochoma wafe aliyechomwa afe anayechoma afe, hata atakayechoma maji afe.

Hii ni chuki ya wazi wazi, Gwajima hana point za msingi juu ya kupinga chanjo wala hana point za kisayansi anaongea upotoshaji, lakini kubwa inaonekana anamchukia sana Rais Samia.

Kama Gwajima anajua mabeberu wanampango wakutumaliza basi, angewaambia waumini wake wasikanyage tena hospitali maana kule ndio zimejaa dawa za kibeberu.
Gwajima anawakilisha Sukuma Gang of killers
 
Walifanya makosa gani?? Chanjo ya ndui imekuletea madhara gani mpuuzi wewe?
Narudia,wewe ni ki-dumper,kwa hiyo wamekuziba macho kwa vi-dollar usione madhara ya chanjo.Ni mjinga tu,ki-dumper au CIA covert operator. asiyeweza kuona au kukiri madhara ya chanjo.
 
Back
Top Bottom