#COVID19 Askofu Gwajima ana chuki binafsi dhidi ya Rais Samia, hili la chanjo ni kupitishia tu chuki yake

Gwajima hafai ni mchanganishi na mkabila mkubwa sijui anaaminiwa na nani nchi hii isipokuwa wajinga wakubwa.
 
Gwajima ni loud speaker tu ya kundi kubwa lisilotaka chanjo hasa watu wa chini ambao ndio majority ya wananchi alichofanya ni kuistua serikali ya mama Samia kuwa be careful Kuna issues!!

Mama Samia kwenye swala La chanjo anakubalika zaidi kwa wateule wake na wahindi na matajirri wasafiri nje

Gwajima kasimama na low class ambao ndio wengi na wapiga kura wengi .

Mbowe alitoa ushauri kuwa watu wote wachanjwe kwa lazima lengo hasa lilikuwa kutaka nchi isitawalike upinzanani upate mwanya sababu anajua fika kuwa makundi makubwa had a low class hawataki chanjo

Usalama waende mbali Gwajima Kuna kundi analisemea

Na Mama Samia ana kundi analisemea wale wa matawi ya just akina leo wako Washington seminar kesho wako Japan nk

Ndio maana hata Membe kaamua kuistua serikali kuwa huu msomamo wa chanjo kipindi Cha Magufuli ulikuwa wa serikali au raisi Magufuli binafsi na huu wa Sasa ni wa Nani hasa? Binafsi au serikali?

Anyway Gwajima katimiza wajibu wake na Membe katimiza

Ninachokiona kwenye chanjo no vita yaani class sturuggle ya went nacho na wasio nacho

Wasio nacho hawataki chanjo went nacho kuanzia vyeo fursa nk ndio wanataka

Who will win tutaona mbele kama ilivyotokea Class struggle 2015 wanyonge wakashinda akapewa Magufuli na Lowasa na mafisadi wakatupwa kwenye dust bin
 
Nani atamfunga paka kengele Gwajima kajitoa muhanga na wengine watafuata
 
Serikali nayo inakuwa kama haitambui njia sahihi za kumfitinisha Gwajima na wafuasi wake. Waanze tu kupiga promo za nguvu kuwa chanjo ya UVIKO 19 inaongeza makalio kwa akina mama pamoja nguvu za kiume kwa akina baba waone kibao kitakavyomgeukia [emoji41]
 
Hakuna siku aliwahi kuwa na point, kwenye dini wala siasa.
Aliingia kwenye siasa kwa sababu ya usukuma tu, ni ili aweze kupiga mpunga na msukuma mwezie mwendazake
 
chama chake (ma ccm) & serikali yake wanaamini ktk chanjo, so kama yeye hana imani na wenzie na yu miongoni mwao atoke (ajiuzulu)....simpo tu!.
Kwani kamanda huamini katika uhuru wa mawazo??
 
Gwajima ni mjanjamjanja mmoja kama MZEE MPILI.....

Nitaishangaa sana CCM kwa kumuachia uanachama wake .....

HAKUNA la mno analotupatia....hakuna!!!

CCM iliwahi kuwafukuza akina hayati Maalim Seif Sharrif na Lyatonga Mrema ,Gwajima hana kaliba ya KISIASA KUWAZIDI HAO.....

HASHTAG GWAJIMA AFUKUZWE CCM

#GwajimaAfukuzweCCM
#NchiKwanzaKablaYaNafsiZetu
#SerikaliMbiliMilele
 
Sijui Gwajima anatafuta nini?
Hayuko kitabibu,wala hayuko na msimamo wa serikali na chama chake.
 
Maswali murua.

Wakikujibu nitag mkuu.
 
Taarifa alizotoa za uongo ni zipi?Ametoa taarifa za kitaalamu 100%.Tupe taarifa mbadala,otherwise
wewe ni ki-damper tu,queit.
 
Ni kawaida yao maaskofu kuwatukana marais wenye imani ya kiislamu huo ni muendelezo tu muda si mrefu utamsikia Pengo naye anachomoza na baadae wataanza kutoa waraka,hawa watu ni Udini tu ndio unawasumbua.
 
Kuwa na Chuki ni Haki yake..., Ila Upotoshaji ni Kosa... Aendelee kuchukia ila asipotoshe
 
Gwajima y
Na yeye apewe kesi ya ugraidi!
CIA operative at work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…