Askofu Gwajima atangaza mfungo wa kumng'oa AMALEKI katika nchi

Amalek anatikitwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Ikiwa Mungu amekusudia Watu wawe na maisha muruwa, halafu lipo liabudu shetani limoja linasimama na Amalek anayezuia watu wasiwe na maisha Murua, haijalishi limeasisiwa mapangoni ama makaburini ama majini, Leo ni kipigo!. Amaleki safari hii anashika adabu! Muda wake umekwisha!.
 
Kumekucha
Askofu wa maneno meeeeengi alikuwa kimyaaaaa ndio karudi na uchonganishi mwingine
Yetu macho na masikio
Tupo sebuleni tunawasubiri mkuye
 
Amaleki ni nani??
Amaleki ni mtawala, mjukuu wa Essau, aliyewashambulia wana wa Israel. Kisha Mungu akawaagiza wana wa Israel kuangamiza utawala wa Amaleki.

Amaleki ni mtawala
Amaleki ni ufalme ulioasisiwa na Amaleki
Waamaleki ni wale waliokuwa chini ya utawala wa Amaleki.
 
Mgambo wanaruka na kukanyagana.

Tulisha sema sana juu ya nia ya hawa watu mara tu walipo anzisha vuguvugu la kuanzisha kundi lao la sukuma gang.
Ilikuwa kama ni utani kumbe ni kweli bhana.
 
Wewe ndiye unaonaka hujui kiroho wala siasa. Amalek ni nani? Siasa ni nini na kiroho ni kitu gani? If you don't kow, ask or else keep kimya. Hapa anapigwa Amalek!.
Hapo ndio tatizo linapoanzia kuchanganya siasa na dini. Mimi sijui ndio. Lakini wengi hawatawaelewa kwa hii tred.
 
Wapi ameyatAmka hayo???
Uwongo umeanzia hapa.
Huyu ni wale wale wa maigizo. Sasa utatangazaje kumng'oa mtawala?. Lini maombi yake yakaenda sawa?. Ccm wamejaa maigizo hakuna mwenye afadhali
Halafu watu wasiokuwa na muda wa kusoma kwa undani ,wakadakia na kubeba udanganyifu wa Amalek.

Lakini ukweli wa Amalek katika mfungo huu ni huu hapa:-

 
Amalek, alikuwa matawala wa Israel? Weka huo mstari wa Biblia hapa, uache kupotosha watu. Kwa hiyo Sauli alipokwenda kupigana na Amalek, alifanya mapinduzi kwa kumpiga kiongozi wa taifa lake?

WAkati Isarel wanatoka Goshen, kwenda Kanani, walipopigana na Amalek aliyezuia wasipite katika ardhi yake, walikuwa viongozi wa Israel?

Amalek wakati wanawaua Israel wakiwa dhaifu wanawake, aliua raia wake?

Please Please Please kabla hujaelewa maandiko, usiropoke hadharani. Acha kupotosha watu.

 
Kufunga makanisa hakusaidii lolote.
Huko ni kupambana na matokeo badala ya kupambana na chanzo cha tatizo.
Ccm bila nguvu za polisi, sheria bandia na udhalimu hamtaweza kubaki madarakani.
 
Wewe ni njinga na mpumbavu usiyejitambua! Kwa hiyo kwako wewe kisa Gwajima anakosoa serkali ndo uzungumzie kanisa lake? Pambaneni na Gwajima sio kanisa lake kwa sisi wakristo tunaamini kanisa ni mwili Kristo mwenyewe!
 
Youtube hii hapa
 
Kweli kabisa. Tena wapitie kabisa mengine eti unaambiwa umuombe marehemu bikira Maria ! Hayo ndio ya kufutiwa kabisa usajili. Ala.
Yaani kazi ya makanisa kama hayo ni kuabudu wafu sasa Gwajima anahuburi neno la Mungu halisi!
 
Hebu wenye ujuvi tufafanulieni yule Amaleki orijino aliyeongelewa kwenye biblia, tumlinganishe na huyu Amaleki wa hapa bongolala......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…