DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,346
Mkristu anayetukana ivyooo? Makubwa!!!Wewe ni njinga na mpumbavu usiyejitambua! Kwa hiyo kwako wewe kisa Gwajima anakosoa serkali ndo uzungumzie kanisa lake? Pambaneni na Gwajima sio kanisa lake kwa sisi wakristo tunaamini kanisa ni mwili Kristo mwenyewe!
Waliowengi wanabisha utadhani wamerogwa tuWatu wanaongea ushabik tu lakini jamaa alikuwa anatupeleka kubaya
CCM ipi ni moja? Hii ambayo mwenyekiti wa CCM wa mkoa alisema wazi kwamba tumechagua rais mwehu?. CCM ipo madarakani kwa sababu ni chama dola. Huwezi kutenganisha CCM na dola, jeshi, Mahakama na Bunge vyote ni Mali yao.Mnajidanya, CCM ni moja na ile ile na mtaendelea kujifariji humu JF na CCM ikiongoza kwa miaka mingi ijayo.
Umerogwa wewe siyo bure sukuma gangYaani kazi ya makanisa kama hayo ni kuabudu wafu sasa Gwajima anahuburi neno la Mungu halisi!
View attachment 2048240
Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi.
kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
Amalek Apiiigweee.......!Amalek anatikitwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Ikiwa Mungu amekusudia Watu wawe na maisha muruwa, halafu lipo liabudu shetani limoja linasimama na Amalek anayezuia watu wasiwe na maisha Murua, haijalishi limeasisiwa mapangoni ama makaburini ama majini, Leo ni kipigo!. Amaleki safari hii anashika adabu! Muda wake umekwisha!.
Ila yeye kajichonga hajachongwaHagaya/hangaya? Gwaji naye ni askofu wa michongo tuu
Inasikitisha sana.....Askofu angeanza kwa kufunga,kuvunja Yale maagano ya mapangoni bagamoyo.Moja ya masharti waliyopewa "UHURU mtapata lakini lazima nchi iwe masikini" hawa wazee wapumbavu Sana kukubali masharti ya kijinga toka kwa shetani.
Kuwa huru lakini haupo huru dhidi ya umasikini ni kuruka mkojo.
Ni bora tusingekuwa huru lakini tupo huru dhidi ya umasikini,maradhi na ujinga.
Miaka 60 ya UHURU nchi ni masikini huku wananchi wanalima juu ya ardhi yanye dhahabu, almas, Ruby, mafuta,gesi nk.Yaani wamepigwa upofu aibu sana.Inasikitisha sana.....
Anahangaika bure huyu mpuuziBado Moshi unafuka "kweri kweri"! Wamegeukiana wenyewe kwa wenyewe sasa. Askofu Gwajima saa chache kabla ya kuhojiwa na Wana CCM wenzie ameamua kufunga 72hrs Ili kumng'oa Amaleki katika nchi....
Hii ngoma Bado mbichi sana, naomba popcorn [emoji897] hapo na juice bariidi.
View attachment 2048289
Kwani kanisa lake la kule Kawe alifunga?Watu wamehamia pale kanisani ubungo tangu juzi na wanafunga na kulala hapo hapo bwashee!
Na wakimng'oa kwenye ubunge atawapiga kwelikweli, kwa uhuru wote.Uchaguzi mdogo Kawe unanukia.
✓Muende na Sadaka SASA, maana kuna ujenzi unaendelea pale kanisanikumekucha ,
ibada ni saa ngapi tuhudhurie??
Dunia inamilikiwa na ibilisi, hapo ndo shughuli ilipo........Miaka 60 ya UHURU nchi ni masikini huku wananchi wanalima juu ya ardhi yanye dhahabu, almas, Ruby, mafuta,gesi nk.Yaani wamepigwa upofu aibu sana.
Yaani watz hata kugeuza udongo kuwa tofali za kuchoma au interlocking plus kugeuza udongo kuwa vigae waezeke nyumba waishi pazuri,au kugeuza takataka za plastic kuwa tofali,mbao, vigae vya kuezekea, tiles za sakafu eti nao hawawezi kama sio kufungwa ni nini.
Viongozi wa dini waungane tuvunje maagano ya kipepo yaliyowekwa na washirikina Ili upofu ututoke.
Iweje wageni ndo wanufaika wa madini.
[emoji1787][emoji1787]Kwahio Sasa Kuna Kiroboto vs Wahuni vs Amaleki