Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

Kwa chama gani?
Mbona CCM kuna watu wengi makini kwa nini wakubali haya mambo ya Msigwa na Gwajima?
Nawaheshimu nawaomba waendelee na huduma na wito wao kiroho.
 
Huyo hapati hata asilimia 20 ya kura labda wamebebe kwa kutumia Polisi na Tume yao.

Wajasiliami wa kidini wanajulikana na hawakubaliki popote pale.
Sijui kama CCM watampitisha ila huyo jamaa ni popular huko makanisani ambao ndio wapiga kura.... nakushauri usipime kina cha maji kwa macho....
 
Naamini sana maneno yako
Akifika Bungeni Akili itakuwa kama ya cyprian Musiba, le mutuz, kibajaji na Msukuma ukiingia CCM moja kwa moja unapungukiwa na uwezo wa kufikiri
 
Ni sawa tu kwa maana tumeshaambiwa "amani ya nchi ipo chini ya kanisa" nani apinge!?
 
gwaji anatia maguu mapema mno bungeni yule dada kichaa ajiandae kisaikolojia
Unaumwa mavi wewe! Halima anashinda asubuhi na mapema. Kawe watu wanajitambua sana. 2015 tulimpiga chini mgombea wa ccm pamoja na figisu zote mlizoleta
 
Huyu aliyerekodi video ya ngono na kondoo wake,wakamblackmail na akaingia kingi hapati ubunge ng'oo,tutautangazia umma matendo yake hayaendani na anachokihubiri ni mzinzi.
 
Jiongeze wewe yule kawaloga hao watu wake
Mzee wa dawa
 
Wale wehu hawasemi anachanganya dini na siasa???
 
Acha tuone mtumishi wa MUNGU na mpenzi wa jinsia moja Nani atashinda huu mpambano [emoji23]
 
Zamu hii Kawe tunachagua chama siyo mtu!
mko wangapi ? Kawe haina mpiga kura wa kumhonga chumvi au kibaba cha dagaa kama huko kwenu kondoa , wala kawe hakuna mpiga kura wa kumtisha kwa kutumia polisi wenye mishahara duni .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…