Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
kwani nani anamtafuta huyo mzinifu mpotoshaji, anaetafuta kiki za kijinga?π
Sasa kama hatafutwi, umejuaje kama kajificha?sio napenda,
ni ukweli bayana gwajima ni mzinzi wa kiwango cha juu sana? Kwani video yake huna alipokua anamnyandua muumini wake?
hatafutwi na yeyote anajidai kujificha, huko si kutafuta kiki na public sympathy za kijinga kabisa gentleman?
Tz utajificha wapi usionekane ikiwa unahitajika?[emoji205]
sasa mbona kule ccm kuna wazee wanafanya hayo hayo na bado mnawafuata?mzinifu wa kuambukiza waamini wake ukimwi kwa makusudi atamfufua nani gentleman π
kwani nani anamtafuta huyo mzinifu mpotoshaji, anaetafuta kiki za kijinguwe na akiba ya maneno
acha uopotoshaji gentleman πsasa mbona kule ccm kuna wazee wanafanya hayo hayo na bado mnawafuata?
si wafuasi wake malofa mnababaika ati kajificha na hakuna mwenye haja na uzinifu wake πSasa kama hatafutwi, umejuaje kama kajificha?
Sasa hizo unazotoa wewe ndio drama zenyewe. Amekuambukiza ukimwi? Kukemea utekaji ni kupotosha?tuanzie kwenye uzinzi wake na kuwaambukiza ukimwi waamini wake kwa makusudi gentleman,
huko kwenye drama hakuna haja kubababika nako sana π
uzinzi wake umewaachia waamini wake ukimwi. Inasikitisha sana na inafedhehesha sana aise πSasa hizo unazotoa wewe ndio drama zenyewe. Amekuambukiza ukimwi? Kukemea utekaji ni kupotosha?
Wewe amekuambukiza ndio maana ukasema hivyo. Hakuna muumini wake aliyesema hayo isipokuwa wewe. Hongera kwa kutoa kizibo kikaingizwa ukimwi ni Gwajimauzinzi wake umewaachia waamini wake ukimwi. Inasikitisha sana na inafedhehesha sana aise π
ni vigumu mtu makini kama mimi kuongozwa na askofu mzinifu ambae pia ni mjumbe na wakala wa shetani ambae anasambaza ukimwi kwa wafuasi wake πWewe amekuambukiza ndio maana ukasema hivyo. Hakuna muumini wake aliyesema hayo isipokuwa wewe. Hongera kwa kutoa kizibo kikaingizwa ukimwi ni Gwajima
Hongera kwa kukuambukiza ukimwi.ni vigumu mtu makini kama mimi kuongozwa na askofu mzinifu ambae pia ni mjumbe na wakala wa shetani ambae anasambaza ukimwi kwa wafuasi wake π
Propaganda hii ndiyo ushetani wenyewe. Hongera kufuzu elimu ya Shetani ya kuongopauzinzi wake umewaachia waamini wake ukimwi. Inasikitisha sana na inafedhehesha sana aise π
naona mfuasi wa shetani unatetea uzinzi wa kiongozi wake πP
Propaganda hii ndiyo ushetani wenyewe. Hongera kufuzu elimu ya Shetani ya kuongopa
Ndo ushangae wanatupa mashaka ajitokeze kufanya nini mtu umefuta kanisa lake yuko kwenye maombiGwajima ni mshitakiwa katika kesi yoyote?
Kama ni mshitakiwa, kesi gani?
Kama si mshitakiwa hawajibiki kujitokeza.
Hivi wewe lini utakuwa na akili mwehu??kwani nani anamtafuta huyo mzinifu mpotoshaji, anaetafuta kiki za kijinga?π
umebaki na mihemko tu ndugu mwenye akili πHivi wewe lini utakuwa na akili mwehu??