MIZANIA TZ
JF-Expert Member
- Sep 22, 2024
- 699
- 374
Mkuu ulikuwepo wakivuana nguo, hadi ukaona virusi vinahamia kwa mwenzio. Ndugu yangu jibu hoja ya Askofu Gwajima!Gentleman,
huyo muungwana alizini na kumuambukiza ukimwi muumini wake kwa makusudi huku akiwa ana jirikodi kabisa video ya ngono dah π
Uskute na gwajima washamtekaWakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima.
Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu Josephat Gwajima ajitokeze kutoka alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea, huku akihoji kama hana makosa ni kwanini anawaogopa Polisi?
Hizi ni comments za Wanasheria hao kuhusu hoja hiyo ya Askofu Gwajima kujificha, wamejibizana kupitia ukurasa wa Instagram wa JamiiForums ambao ulipost video ya DC Msando:
Alichozungumza Msando kuhusu Gwajima ~ DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea
Video ya Msando akichezea chupi ya Nandy bado tunayo na ya mkono wa baunsa tunayo.kwani nani anamtafuta huyo mzinifu mpotoshaji, anaetafuta kiki za kijinga?π
Wasubiriane Mahakamani, Haraka ya nini?Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima.
Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu Josephat Gwajima ajitokeze kutoka alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea, huku akihoji kama hana makosa ni kwanini anawaogopa Polisi?
Hizi ni comments za Wanasheria hao kuhusu hoja hiyo ya Askofu Gwajima kujificha, wamejibizana kupitia ukurasa wa Instagram wa JamiiForums ambao ulipost video ya DC Msando:
Alichozungumza Msando kuhusu Gwajima ~ DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea
CCM isikufanye utukane Gwajima eti mzinifu. Kwamba huko CCM mko wasafi hakuna mzinifu? Mbona kila siku unaleta nyuzi za CCM hujataja hata mmoja mzinifu?kwani nani anamtafuta huyo mzinifu mpotoshaji, anaetafuta kiki za kijinga?π
Kwani msando siyo mzinifkwani nani anamtafuta huyo mzinifu mpotoshaji, anaetafuta kiki za kijinga?π
Huyo mlopokaji tuKama mnatarajia hao viongozi wetu wawili wanaweza kuwa neutral hata kwa sentensi moja kujibu hoja za gwajboy basi mtasubili sana, hakuna mwenye ubavu huo, lazima waegemee upande mmoja for their security
ati "Tz utajificha wapi usionekane..."! Mbn "wasiojulikana", wanaotenda hayo mautekaji, maupotezaji, mauaji na maumwagaji damu mmeshindwa kueluzea walipo! Na kw nn kumtafta litumike jeshi kuzngra kanisa badla ya kumwita kituoni kama ni mhalifu! ...nksio napenda,
ni ukweli bayana gwajima ni mzinzi wa kiwango cha juu sana? Kwani video yake huna alipokua anamnyandua muumini wake?
hatafutwi na yeyote anajidai kujificha, huko si kutafuta kiki na public sympathy za kijinga kabisa gentleman?
Tz utajificha wapi usionekane ikiwa unahitajika?π
Makerubi Ya Kijani Yanamtaka Gwaji Boy Apate TabuMamajusi kwaya ππ
Hili jambo liko wazi sana.Sisali kwa Gwajima, lakini hakuna jambo limeniuma mwaka huu kama serikali kufungia kanisa lote, na yale makanisa mikoani na kwengine takribani 2000, waumini malaki wote hao wamenyimwa haki ya kuabudu kwa sababu ya kosa moja la mtu aliyepo Dar es Salaam.
1. katiba inatoa haki ya kuabudu, hadi wapagani wana haki hiyo, ila samia anafunga kanisa. Kufunga makanisa nchi nzima kunanyima haki waumini ambao hawana kosa lolote wasiabudu, tafadhali rudisheni usajili ili nchi ikae na amani na furaha. hamuwezi kuzuia watu kuabudu au kulazimisha waabudu vile ninyi mnavyotaka.
2. Kama kuna kosa, aadhibiwe Gwajima, ndiye aliongea, sio waumini. Kanisa moja tu Dar es Salaam limekosea yeye amefuta na branches zake zote nchi nzima makanisa zaidi ya 2000, hivi msikiti mmoja ukikosea atafuta misikiti yote nchi nzima au branchez zake nchi nzima? au kwa sababu hili ni kanisa na yeye sio mkristo ndio ameamua kushughulikia wakristo?
3. Waumini wamekosa nini? makanisa mikoani, na hata hapa dsm, na hata pale ubungo, waumini wana kosa gani hata serikali iwazuie kusali?
4. nchi zenye akili zinahamasisha watu wake wamwabudu Mungu, ila samia anafunga makanisa.
5. watu tunajiuliza, ungekuwa msikiti angefunga? au amefunga kwa kuwa ni kanisa?
6. Muislam usiyemjua Mungu wa Israel utamtukanaje Mkristo kuwa ni mtumishi wa shetani?
7. wakatoliki wamekosoa, mbona hawajafutwa hapa Tanzania? au hawajasajiliwa au hawahitaji usajili. sishabikii kwamba wakatoliki washughulikiwe No, ila hoja ni kwamba mbona kuna double standards?
8. samia anafikiri kwa kutukana kanisa na kuhudhuria kwa malasusa atakuwa amejisafisha mbele ya wakristo, aliye karibu naye amshauri, ASITUGAWE WALA KUTULETEA UDINI NCHI HII.
9. samia aliikuta nchi salama haina udini, mshaurini aongoze na aje aiache ikiwa salama vilevile.
10. yote katika yote, sisi wakristo huwa hatupigani kwa majambia, mitutu na mikuki, tunapigana kwenye magoti, kwa maombi, tutamwomba Mungu na hakimu wa kweli atatoa jibu la kinini smaia anazuia waumini wa ufufuo na uzima wasiabudu; kwamba kwa sababu kanisa moja la dsm limekosea basi makanisa yooote nchi nzima 2000 yafungwe, msikiti mmoja ukikosea anaweza kuzuia misikiti mingine nchi yote? au ni kwasababu hili ni kanisa na yeye ni muislam? nia yake ni kufuta ukristo au nini? anafikiri ataweza? kama wayahudi walishindwa ataweza yeye?
Yatapata taabu sanaMakerubi Ya Kijani Yanamtaka Gwaji Boy Apate Tabu
shehe ponda na kundecha wamekuwa mwiba kwa serikali tena wakituhumiwa kwa ugaidi na vikundi vya kigaidi adi leo kuna wafuasi wao wapo gerezani, yote hayo yanafanywa misikitini ila hakuna msikiti hata mmoja uliwahi kufungwa au waislam wakazuiwa kuabudu. sasa wafuasi wa ufufuo na uzima kesho jumapili wamenyimwa haki yao ya kikatiba ya kuabudu kwa sababu ya kosa la gwajima (kama kweli ni kosa though naamini hajakosea), ukiumwa jino moja mdomoni unang'oa meno yote mdomo mzima? kwa nini tusiamini ni shambulio dhidi ya ukristo? ile chuki dhidi ya ukristo ndio imejitokeza ndio maana anaamini dhahebu la gwajima ni la shetani, rais wa nchi anatukana dhehebu la imani tofauti naye kuwa ni la kishetani, waumin maelfu makanisa zaidi ya 2000 ambao wanamwabudu Mungu, samia kasema kanisa lao ni la kishetani, na bahati mbaya ameongelea hilo kwenye dhehebu la lutheran mbele yamalasusa ambaye hawezi kucomment chochote. Mungu iponye Tanzania.Hili jambo liko wazi sana.
Kilichofanyika kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima ni CHUKI DHIDI YA UKRISTO. Kwamba Rais aliyeko Madarakani ni MUISLAMU kwa hiyo ametumia kigezo cha Gwajima kukosia Serikali yake kupambana na Maelfu ya Wakristo.
Sidhani kama ingelikuwa ni sahihi kuwa Sheikh wa Msikiti mmoja hapo Dar ameikosoa Serikali basi misikiti 2000 ya Kiislamu ifungwe!!
Lakini pia tusisahau kilichotokea kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Wakatoliki (TEC) Padre Kitima kushambuliwa na Wasiojulika nusra ya kuondoa uhai wake. Ni mwendelezo uleule.
Dini ya Kiislamu imejengwa kwenye imani na misingi ya Chuki, Visasi na JIHAD!! Inasikitishaπ³
hizo drama za kizushi hakuna wa kubabaika nazo gentleman πati "Tz utajificha wapi usionekane..."! Mbn "wasiojulikana", wanaotenda hayo mautekaji, maupotezaji, mauaji na maumwagaji damu mmeshindwa kueluzea walipo! Na kw nn kumtafta litumike jeshi kuzngra kanisa badla ya kumwita kituoni kama ni mhalifu! ...nk
una kavideo kake hapo kangono kama ya huyo askofu muambukiza ukimwi kwa waamini wake gentleman?πKwani msando siyo mzinif
Ova
inaonekana wewe ni miongoni mwa mawakili wa shetani mzinifu wazembe sana. Kiongozi wako anafanya uzinzi na kujirikodi video kabisa akimusmbikiza muumini wake ukimwi kwa ngono zembe halafu unakuja hapa kushupaza shingo?CCM isikufanye utukane Gwajima eti mzinifu. Kwamba huko CCM mko wasafi hakuna mzinifu? Mbona kila siku unaleta nyuzi za CCM hujataja hata mmoja mzinifu?
Kuwa na busara wakati mwingine.
Hata msando mbn yy kawachapa sana πuna kavideo kake hapo kangono kama ya huyo askofu muambukiza ukimwi kwa waamini wake gentleman?π