Askofu Gwajima: Kawe tuna barabara za urefu wa KM 1400 sawa na Dsm - Kigoma tumepewa fedha ya km 130 tu hii haikubaliki!

Asilete usanii watu tushajipanga kwenda Mrekani na Japani kama alivoahidi hatutaki uongo
 
Huyu Rashid si angeanza kwanza kutimiza ahadi alizitoa kwamba atajifanya kwa pesa yake kabla hajaanza kupiga kelele Bungeni?
 
Huyu gwajima wito wake ni kumtumikia Mungu huko alikoingia siko kabisa, kazi ya kuhubiri injili haijaisha anakimbilia siasa
Gwajima Siyo mtumishi wa Mungu... atakuwa wa Shetani huyo. Huyu jamaa anayedanganya watu Kila Siku mpa anafake kifo chake na ufufuko. Hell no!!!
 
Mbunge wa Kawe baba askofu Gwajima amesema jimbo lake la Kawe lina barabara zenye urefu wa takribani kilomita 1400 sawa na umbali wa kutoka Dsm hadi Kigoma lakini Tarura wamepewa bajeti ya kukarabati kilomita 130 tu.

Gwajima amesema hii haikubaliki na kuwataka watu wa Tarura kujiongeza kwani wao wanahitaji kupewa fungu kubwa la fedha za ukarabati kuliko Tanroads.

Gwajima alikuwa akichangia hotuba ya Rais Magufuli bungeni jijini Dodoma leo.

Chanzo: Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Huyu vipi, kila kitu kinahitaji fedha, alitakiwa aje na mpango jinsi Serikali itapata pesa ili kuwezesha hizo 1,400 Km kujengwa, hii ni hasara
 
Sisi wa Tandahimba tusemeje?
 
Huyu vipi, kila kitu kinahitaji fedha, alitakiwa aje na mpango jinsi Serikali itapata pesa ili kuwezesha hizo 1,400 Km kujengwa, hii ni hasara
Zaidi ya kukopa na hisani hizi nchi zetu zina namna nyingine ya kushughulikia upungufu wa bajeti?
 
Hii Nchi ni Tajiri, Na njia Ziko nyingi, lakini hakuna wenye mbinu za kuwafanya wananchi wawe Matajiri
 
Back
Top Bottom