Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani Kanisa linashindwa kujenga barabara?Toa hela za kanisa....si uliutaka ubunge kwa lolote lile!!
Hajui umbali wa Dar to Kg, itakuwa kakisia.Bwashee unaujua umbali wa Dar es salaam to Kigoma lakini?
Gwajima awe mvumilivu!
Treni lake liko njiani kwanza linakujaYeye si alisema atawajengea lami kwa fedha yake....
Ova
Kwanza kuwa na 1400km nao ni uongo mtupuBwashee unaujua umbali wa Dar es salaam to Kigoma lakini?
Gwajima awe mvumilivu!
Alikuwa ana-beep sasa amepigiwaYeye si alisema atawajengea lami kwa fedha yake....
Ova
Mi nasubiria kwenda BirminghamTreni lake liko njiani kwanza linakuja
Hana uwezo huo?Treni lake liko njiani kwanza linakuja
Tupe ukweli wako!Kwanza kuwa na 1400km nao ni uongo mtupu
Mungu yupi huyo wa waongo, wafitini,wanafiki?Huyu gwajima wito wake ni kumtumikia Mungu huko alikoingia siko kabisa, kazi ya kuhubiri injili haijaisha anakimbilia siasa
Hakika.Mi nasubiria kwenda Birmingham
Anaweza kununua hata treni elfu 10.Hana uwezo huo?
Gwajima Siyo mtumishi wa Mungu... atakuwa wa Shetani huyo. Huyu jamaa anayedanganya watu Kila Siku mpa anafake kifo chake na ufufuko. Hell no!!!Huyu gwajima wito wake ni kumtumikia Mungu huko alikoingia siko kabisa, kazi ya kuhubiri injili haijaisha anakimbilia siasa
Huyu vipi, kila kitu kinahitaji fedha, alitakiwa aje na mpango jinsi Serikali itapata pesa ili kuwezesha hizo 1,400 Km kujengwa, hii ni hasaraMbunge wa Kawe baba askofu Gwajima amesema jimbo lake la Kawe lina barabara zenye urefu wa takribani kilomita 1400 sawa na umbali wa kutoka Dsm hadi Kigoma lakini Tarura wamepewa bajeti ya kukarabati kilomita 130 tu.
Gwajima amesema hii haikubaliki na kuwataka watu wa Tarura kujiongeza kwani wao wanahitaji kupewa fungu kubwa la fedha za ukarabati kuliko Tanroads.
Gwajima alikuwa akichangia hotuba ya Rais Magufuli bungeni jijini Dodoma leo.
Chanzo: Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Sisi wa Tandahimba tusemeje?Mbunge wa Kawe baba askofu Gwajima amesema jimbo lake la Kawe lina barabara zenye urefu wa takribani kilomita 1400 sawa na umbali wa kutoka Dsm hadi Kigoma lakini Tarura wamepewa bajeti ya kukarabati kilomita 130 tu.
Gwajima amesema hii haikubaliki na kuwataka watu wa Tarura kujiongeza kwani wao wanahitaji kupewa fungu kubwa la fedha za ukarabati kuliko Tanroads.
Gwajima alikuwa akichangia hotuba ya Rais Magufuli bungeni jijini Dodoma leo.
Chanzo: Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Zaidi ya kukopa na hisani hizi nchi zetu zina namna nyingine ya kushughulikia upungufu wa bajeti?Huyu vipi, kila kitu kinahitaji fedha, alitakiwa aje na mpango jinsi Serikali itapata pesa ili kuwezesha hizo 1,400 Km kujengwa, hii ni hasara
Ndio, kutumia fedha za ndani!Zaidi ya kukopa na hisani hizi nchi zetu zina namna nyingine ya kushughulikia upungufu wa bajeti?
Hii Nchi ni Tajiri, Na njia Ziko nyingi, lakini hakuna wenye mbinu za kuwafanya wananchi wawe MatajiriZaidi ya kukopa na hisani hizi nchi zetu zina namna nyingine ya kushughulikia upungufu wa bajeti?