Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hakuna watu masikini kama wafuasi wa Gwajima; na bado li ligwajima linawakamua sadaka kila Jumapili.Hilo swali umewahi kumuuliza Mbowe lini atajenga ofisi ili muhame kwenye ile servant quarter?
Huko Birmingham Marekani sijui Japan sijui utopolo wa Boat za uvuvi , sijui treni na chuo cha uvuvi angeanza na waumini wake.
Gwajima Tapeli huyo hata kanisa ameshindwa kujenga huku anatembelea Hammer kwa sadaka za mazuzu wake.