Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

Kweli hili jamaa kwa utapeli limekubuhu! kamwe asiaminike! kama anataka kuaminika tujue ni kweli basi afufue kwanza marehemu wiwili tunaowajua walikufa kweli na kuponya vilema 2 tunaowajua ni vilema kweli!
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa ni fiksi hatari
 
Bwana RASHIDI ktk ubora wake, kweli vituko, angekuwa RC huyu leo tungemvua daraja lake la uaskofu
 
"Takwimu zao zinaonyesha hakuna dalili yoyote kwa Mgombea wa Chama cha Meko full kupata hata asilimia 40 ya kura. Chama cha Meko full wameshakata tamaa na ushindi. Kwa msingi huo wamepangwa kumtangaza Mgombea wa Chama Cha Meko full usiku wa manane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sera gani wewe unataka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…