Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

Ataropoka yote mwaka huu, walimsomesha akiwa mdogo halafu alivyokuwa mkubwa akawageuka kwa kusema angekuwa na uwezo angebadilisha misikiti yote iwe Sunday School.
Kus ingekuwa na technologie angesema tunamsingixia si yeye aliyezema
 
Na Mimi ni Mwana Ccm tena Mkazi wa Kawe kanisani, katika Mambo yatayonihuzunisha kwa kweli ni Sisi kupata ushindi kwny Jimbo hili!


Kamati kuu ya Ccm imetudharau sana watu wa Kawe kutuletea hiki Kinyago
 
Sasa nyie jamaa mnashangaza sana Yani badala ya kujikita kueneza sera zenu wananchi waone kama zinaushawishi badala yake mmekalia kumshambulia Gwajima kwa mambo ambayo yalishatolewa ufafanuzi.

Halima maskini jipya hana!
 
Ni kwa bahati mbaya sana bora hata Chadema wangeleta mtu mwingine lakini siyo Halima!

Halima hana jipya!

Hata Campaigns zake Safari hii zimepwaya sana !

Faraja yake imebaki kwenye mtandao wa JF walau akisoma michango yenu ya kumsakama Gwajima yamkini anafarijika lakini sasa haisaidii kitu.
 
Uzuri wana Dar es Salaam walishamaliza uchaguzi wanasubiri matokeo tuu

Chiddy kiboko yao😁😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…