PreGE2025 Askofu Gwajima: Sitayumba, sitabadilika na wala sitabadili msimamo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwamba kipindi cha Kikwete watu hawakutekwa??? Hauko serious mkuu. Lakini pia ni kosa sana kujiaminisha kuwa Rais ndio anateka... watu wametekwa kipindi cha Kikwete, JPM, na sasa maana yake Ukienda tofauti na mfumo sio hata Rais anayehangaika na wewe. Ukisikiliza story y pascal mayala utaelewa... kuna watu hapa kati ndio wanapeleka motooo. kudeal na Rais ni kupoteza muda tu... unafikiri Rais anaweza akatia mhuri mtu wa aina ya Kitima atekwe au apigwe?? Kwamba yeye hajui nguvu ya katoliki?? Hata kesho Rais akiwa Lissu kwa sababu fulani fulani watu watatekwa tu kiongozi.. dont over expect kwenye hii mifumo
 
Kisu kimegusa mfupa.

"Tuendelee kupiga makombora mpaka muhusika mwenyewe anaeteka watu atoke hadharani."-: Bishop Gwajima
Mbona ameshajitokeza juzi kwenye mkutano mkuu wa CCM, sema zipigwe hadi arudi nchini kwao atuachie Tanganyika yetu.
 
Ushauri, hizi updates za gwajima weka kwenye uzi mmoja ili hata tunavyochangia tutoe michango inayochoma kweli kweli kwaajili ya tanzania yetu ya kesho.
naona zikiwekwa mbalimbali unaumia kweli kweli, ni kama unaona mnapigwa za uso nyingi kumbe ni kitu kilekile.
 
Ni kuvurumisha kila Kona ya nchi mpaka anyanyuwe mikono juu
 
Nahitaji niwe nasali kanisani Kwa Gwajima
Karibu Sana ila hatafungui biblia .NI poronjoooo la kariakoo na mtekaji ndo habari ya kanisa.


Kwa mfano. Nyerere
Karume
Mwinyi
Mkapa
Kikwete
Magufur.

Hawa hawajui na hawajawai kuteka ila today tuna experience utekaji.

Neno la Leo kanisani .
 
Wewe utakuwa unaishi Marekani au ulaya , yaani wakati wa Kikwete si walitekwa akina Ulimboka ?? wakati wa Magufuli ndio ulipamba moto utekaji , huku Zanzibar walitekwa akina Mansur wakalazimishwa Maalim waingie katika serikali ya umoja wa kitaifa , kuna mgombea wa CCM mpaka leo hajaonekana tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…