PreGE2025 Askofu Gwajima: Sitayumba, sitabadilika na wala sitabadili msimamo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
NAANZA KUAMINI KUWA GWAJIMA ANATUMIWA KUIZIMA "NO REFORMS NO ELECTION" NAPOTEZA IMANI JUU YAKE.
 
🤣🤣🤣 kama ni mziki basi hizi punch lines ni next level, unbeaten hata zile za taarabu hazifui dafu.
 
Mtu kasema kuhusu utekaji tulitegemea tamko kuhusu hili in the end tuanendea
Gwajima for presidency!
 

Nani anaanzia Wapi kumpinga mtumishi huyu kwenye hili?

njinjo kanyoosha mikono.

Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, na wale wengine mkuje mara moja!
 
Huyo mkamaria asimjaribu Askofu Gwajima...atajuta
 
Kombora moja tu la Moshi mzito mtekaji katoka mafichoni , Bi tunu alikosea sana kumjibu uyu jamaa sijui hana washauri maana hapakuwa na kibaya cha kujibu, dhahiri kaonyesha umma ye ni muhusika
Washauri wake wanafanya makusudi Makala anafanya kazi gani yeye ndo alitakiwa kumjibu sio mwenyekiti wa chama tena Rais unawapa Nguvu wa zee wa no reforms no Election maana Rais alitakiwa akemee utekaji hata kwa kuzuga
 
Akili kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…