Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,624
- 1,937
wewe unamuona gwajima ni mtu wa kawaida?Wapambe wanapiga shangwe ila naona wasiwasi kwa familia yake gwajima kwa wakati huu wanapitia hali ngumu sana wamshauri mzee wao angetulia kwanza watu wamechafukwa sana kwa sasa na ni makatili sana anything can happen to him.
🤣🤣🙌Noma sn🤣🤣🤣 kama ni mziki basi hizi punch lines ni next level, unbeaten hata zile za taarabu hazifui dafu.
😂😂Mwananyamala🙌Mama was mwananyamala alivyokuwa mjinga na mpumbavu atakuja kujibu
Yaani watu hawajifunzi tu wanafikiri Gwajima ni WA kawaida snwewe unamuona gwajima ni mtu wa kawaida?
Mbona kaeoeweka kabisaaaHuwezi tenganisha ccm na utekaji aache kuzunguka mbuyu.
Tukianza kumhusisha Rais kwenye mambo ya uuaji aisee hii dhambi haitatuacha salama, yalianza enzi za JPM hivi kwa Rais kuhusishwa sasa kwa SSH, unajifunza Maraisi wanatoka lakini matukio yanabaki yale yale... hesabu zinakataa sanaHivi ni kwamba unadhani tunaona Gwajima anakosea? Gwajima ameenda moja kwa moja kwenye mzizi wa tatizo. Huenda hutaki rais ahusishwe kwa mantiki ya kwamba ni mtakatifu wakati uhalisia unakataa.
Wewe unaona linawezekana Rais atoe order ya kumteka mtu kama Soka??? Kwa threat gani aliyonayo??? Trna akitumia kikundi nje ya vyombo vya dola... tuacheni hii mazee. Hata kama hatumpendi aliyeko madarakani lakini this doesnt make sense.... kesho atatoka SSH ataingia TAL utaona haya matukio yanabaki.... watu walisena Uhuru mtekaji katoka kaingia Ruto watu wanatekwa tena mchana kweupe.....Kwahiyo ww unaona hilo haliwezekani au sio
Kama aliamua kuongea basi alijiandaa kwa hayo na sidhani kama anaogopa chochote
Mkuu akili na tabia ya nyumbu ni kufuata mkumbo tu, matokeo ni huko mbele!Imekuwa ni Sasa ni Gwajima for presidency, na Sio ni no reforms no Election tena?
Kweli Nyumbulisation inasumbua watu!
Kupitia chama gani? Cha babaako?Huyu ndiye Rais ajaye
Ubongo wako umelala unahitaji uamsho.Wewe unaona linawezekana Rais atoe order ya kumteka mtu kama Soka??? Kwa threat gani aliyonayo??? Trna akitumia kikundi nje ya vyombo vya dola... tuacheni hii mazee. Hata kama hatumpendi aliyeko madarakani lakini this doesnt make sense.... kesho atatoka SSH ataingia TAL utaona haya matukio yanabaki.... watu walisena Uhuru mtekaji katoka kaingia Ruto watu wanatekwa tena mchana kweupe.....
Hata Issue ya Lisu kushambuliwa aliambiwa na Gwajima kuwa kuna wary wanakufatilia kwa huyo muda wowote utashambuliwa!Yaani watu hawajifunzi tu wanafikiri Gwajima ni WA kawaida sn
Unamlinganisha Soka na Kashoggi??? Tanzania ma Saudi (ambapo Uongozi ni wa ukoo??) Hauko serious na endelea kuamini ujinga... kama watu kina Ndugai walokuwa na threat kubwa kwa mkubwa na wako powerful hawakutekwa wala kufa na wanadunda mtaani bila shida. Huu winmbo wa kuamini Rais anaorder watu watekwe achaneni nao.. hauna tija.. kadri unavyoimbwa utaharibu taasisi ya Uraisi tu. Mind you, unafikiri kichama chama, kesho Rais atkuwa mpinzani wa watawala haya yataendela kutamkwa... tuacheni wazee.Ubongo wako umelala unahitaji uamsho.
Kama mtoto wa mfalme wa saudia alioda kashogi atekwe na akatwe vipandevipande kama mishikaki na apotee mazima unaona hilo ni gumu kwa soka kupotezwa au sio.
Unajua ukishakuwa na power mkononi halafu ukawekwa upofu nn hutokea?
Kaa kwa kutulia huna hujualo.
Yaani alimwambia live kuwa wanataka kukuua Kwa risasiHata Issue ya Lisu kushambuliwa aliambiwa na Gwajima kuwa kuna wary wanakufatilia kwa huyo muda wowote utashambuliwa!
Kwa hiyo tuamini kuna watu wapo so poweful ambao namba 1 hawezi kuchukua hatua dhidi yao si ndio? Huoni basi kuna ombwe la uongozi nchini na tunakoelekea ni kubaya zaidi?Unamlinganisha Soka na Kashoggi??? Tanzania ma Saudi (ambapo Uongozi ni wa ukoo??) Hauko serious na endelea kuamini ujinga... kama watu kina Ndugai walokuwa na threat kubwa kwa mkubwa na wako powerful hawakutekwa wala kufa na wanadunda mtaani bila shida. Huu winmbo wa kuamini Rais anaorder watu watekwe achaneni nao.. hauna tija.. kadri unavyoimbwa utaharibu taasisi ya Uraisi tu. Mind you, unafikiri kichama chama, kesho Rais atkuwa mpinzani wa watawala haya yataendela kutamkwa... tuacheni wazee.
Hivi unafikiri Rais anaweza kutoa order ya mtu powerful kama katibu wa TEC akatekwe/kushambuliwa tena baada y TEC kutoa waraka tu??? Yeye hajui nguvu ya TEC???? Ukweli ni kuwa hawakumpenda toka anaingia, hili vuguvugu lilipangwa kabla, ni kuwa aliwalia timing ya kumaliza mambo mapema kwenye kikao ambacho hawakutarajia. umesikia uzi wa mara kuna jambo litatokea kabla ya July??? Watanzania wanacheza ngoma za watu, hata akitoka aliyepo hawatampa wa upinzani (huo ndio ukweli mchungu) litachukua tu kundi lingine. Na kumbuka baada ya uchaguzi tu haya yote yatakwisha kuna watu hawaamini kama hii imeenda.
Huo ni mtazamo tu, lakini uhalisia ni kuwa kwa hizi nchi zetu huwezi kuwa na Rais mtekajiKwa hiyo tuamini kuna watu wapo so poweful ambao namba 1 hawezi kuchukua hatua dhidi yao si ndio? Huoni basi kuna ombwe la uongozi nchini na tunakoelekea ni kubaya zaidi?
Umbea tu☺️Waiting.....
Ukute anayevaa ile nyekundu 👌ni kaka jambazi sema tu tumedanganywa kuwa ni mazeli👿Hii nchi sasahivi inavijimambo!, kila sehemu tunakabwa siasa tunakabwa mitaani nasikia sahivi vibaka wanavaa hijabu ujue ni mdada ila ukishasogea karibu yake tu ndo utajua ni komando kipensi japo kwa kuchelewa!.
Hata kama kazi ni kipimo cha utu ndo mtuvalie baibui wazee....🤣