PreGE2025 Askofu Gwajima: Sitayumba, sitabadilika na wala sitabadili msimamo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwahiyo mama alijichanganya, kakurupuka kumfukuza Gwajima kwenye uteuzi na kuagiza magwajima yote yatupwe nje!
Angefikiria vizuri asingetia neno angewaachia chawa wake wamalizane na Gwajima.
 
Wapambe wanapiga shangwe ila naona wasiwasi kwa familia yake gwajima kwa wakati huu wanapitia hali ngumu sana wamshauri mzee wao angetulia kwanza watu wamechafukwa sana kwa sasa na ni makatili sana anything can happen to him.
 
Inawezekana wanaopinga wana masilahi binafsi, kikikiki
 
Hii combination ya Tundu Lissu, Gwajima, Kitima, Shekh Ponda, Heche na Watanzania woote itatuokoa sana na mawaa yanayotupata.

Mungu hujisazia watumishi wake miongoni mwa waovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…