Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Ni ka kiume mbona weupe wake si wa kawaida?
kwakweli,chuma kishapa moto sasa...Kisu kimegusa mfupa.
"Tuendelee kupiga makombora mpaka muhusika mwenyewe anaeteka watu atoke hadharani."-: Bishop Gwajima
Na hapo ndipo mtakapo shuhudia ombwe na anguko kama ilivyokua arabSoon ataenda kuungana na lisu huko apapumzike hadi 2030
Ponjoro wa kinondoni akae kwa kutulia asije akavurugwa vipande vipande ,akimchokoza Gwajiboy ataliamsha Dude.Askofu gwajima asema CCM si chama cha utekaji, na kinapinga kwa nguvu zote kama yeye anavyofanya. Asema utekaji si sera ya CCM, ataendelea kuipenda CCM lakini kwenye utekaji atakataa milele.
Asema ukiona anaongelea utekaji na watu wanampinga basi wapo watu wanajua hiyo itakuwa inamaanisha nini.
Kenge hatuhitaji D2 kuelewa si ndio?🌚
Ponjoro/gabachori wa kinondoni akae kwa kutulia asije akavurugwa vipande vipande ,akimchokoza Gwajiboy ataliamsha Dude.Kisu kimegusa mfupa.
"Tuendelee kupiga makombora mpaka muhusika mwenyewe anaeteka watu atoke hadharani."-: Bishop Gwajima
Ndio Itasaidia niniSoon ataenda kuungana na lisu huko apapumzike hadi 2030
Unawashwawashwa kunako nini unhitaj kisuguliweNyumbu mchukueni huyo mwehu wenu kwa maana wambea kama hawa ndio mnaowapendaga
Hata huyu tutamsifu sana akishastaafu, si ndio watanzania tulivyo??? Kwani kikwete alisifiwa??? Si alipigwa mawee enzi za utawala wake?? JPM je waliomkandia kipindi kile saizi ndio chawa wake wakubwa??? Akishaondoka na huyu tutasema bora SSHvery big mistake walifanya kumjibu. siku zote tunawashauri hawa watu wasiishi kama bado wapo karne ya kina hitler ila ya ubabe,wao wanaamua kutumia nguvu badala ya akili. kikwete alitawala kwa furaha na hadi leo ni kama kijana kwa sababu alitawala kwa akili, hakutawala kwa nguvu. gajima ilitakiwa wamuache tu, warekebishe palipo na ufa maisha yaendelee. magufuli alichokuwa anafanya, ukimsema anafoka ila anajirekebisha kimya kimya. waliomzunguka mama kwa karibi naamini hawamshauri vizuri na hawamtakii mema.
Ni vita kati ya mtekaji na mtetezi wa watekwaji hadi sasa Mtekaji 0 Mtetezi 3Nina uliza Nini linaendelea kati ya gwajima na Samia?
Hatari sanaNi kwamba utekaji ukome kwa nini umteke umuue binadamu mwenzako aliyeumbwa na Mwenyezi Mungu
Ni yule mwarabu koko Tarimba aliyetoa watoto wake wawili kafaraHivi ponjoro ni lidudu gani?nimetafuta kwenye google siioni😀
alipigwa mawe na kusifiwa sana, ila hoja ni kwamba, yeye hakujibu kwa kuteka, alinyamaza useme ukichoka unywe maji ukalale maisha yake yanaendelea na furaha yake. kujibizana na kushindana na watu huwa kunakuumiza wewe zaidi ya yule anayekukosea na utaishi maisha mafupi sana kwa kumaindi kila kitu hata vile vidogo ambavyo ungepotezea. kwa hali ilivyo sasa, hadi mtaani watu wanaamini nchi haiongozwi na usalama wa taifa na majeshi, wanaamini nchi inaongozwa na abdul mtoto wa mama na waziri msaidizi wa mama na baadhi ya watu wachache. kwa sabbu kwa weledi wa vyombo nilivyovitaja na namna vinavyofowasii maisha, sidhani kama hali ingekuwa ya kijinga namna hii. hapo lazima kuna mtu ambaye sio professional ameshika rungu. hatumtaki huyo mtu kwanza anaaibisha vyombo vyetu vya usalama.Hata huyu tutamsifu sana akishastaafu, si ndio watanzania tulivyo??? Kwani kikwete alisifiwa??? Si alipigwa mawee enzi za utawala wake?? JPM je waliomkandia kipindi kile saizi ndio chawa wake wakubwa??? Akishaondoka na huyu tutasema bora SSH
Kuongea ukweli ni umbeya!!??Nyumbu mchukueni huyo mwehu wenu kwa maana wambea kama hawa ndio mnaowapendaga
Thats umekuwa keyboard warrior maana huna uwezo huo, huna udhubutu wowote. Huna uwezo hata wa kujibu hojaNingekuwa na uwezo aisee huyu Gwajima ningempiga risasi hadharani