Askofu Lusekelo (Mzee wa Upako): Kesi ya Mbowe inakera sana na inaniumiza moyo

Kama umenuna kanywe sumu we kiroboto tu kama wahuni wengine
Na mtanena sana kwa lugha nyumbu nyie!

Huyu askofu si ndio yule juzi tu mlikuwa mnamtukana?

Mataendelea kugeuzwa kama chapati mpaka lini?
 
Mpaka Leo siamini vyema nguvu wafuasi mwendazake kumchomekea Mama hili gari bovu! Hope leo Shauri litafutwa

Tatizo hao wengine walioko gerezani walioshutumiwa kwa kesi za ugaidi mlikaa kimya na mnaendelea kukaa kimya kwa sababu ni waislamu

mnasahau kuwa binadamu kumbambikizia kesi ni dhambi haijalizi awe mbowe au Selemani awe mkiristo au muisllamu au dini yoyote
 
Hakunaga funzo kwenye uonevu,kesi ni ya kijinga,uonevu,ufujaji wa kodi zetu bure...actually mtu mwenye takataka kichwani tu ndio anaweza sema hii ni kesi halali.

Kesi ni ya kubumba na uzushi,ni suala la muda tu wataumbuka..Mbowe sio gaidi.
 
Hao wanajulikana ni wazee wa kujilipua...ni magaidi kweli na aliewaweka ndani ni muislam mwenzao..JK
 
Kwa hili nakubaliana na mzee wa upako. Muhimili uliojichimbia juu ya mihili mengine unajiaibisha sana kwa hii case.
 
Wewe kwenda zako. Hatujawahi kukalia kimuya vitendo vya uminyaji haki. Sisi tumekuwa mstari wa mbele. Historia itatuhukumu kwa Haki.
 
Walipofungwa wale wengine miaka 9 na kuambiwa Magaidi bila ya uthibitisho mbona hakusema kitu au kisa mb*w ni Wa imani yke?
 
Huyo siyo Mchungaji wa TAG.
 
Mzee ameamua kutoa ya moyoni
Huyu ni mnafiki. Rejea matamko yake ya huko siku za nyuma. Ni Chato Gang huyo, ana hasira na utawala uliopo madarakani, anatafuta huruma upande wa pili. Anafahamu fika kuwa "akiongea maneno matamu" hawatokosekana wa kumshabikia. Same trick Polepole is using. Tell them what they like to hear, and you are an instant hero!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…