Duh
Kaharufu ka Ugalatia!
Doh!Sasa tuna Ongeza lugha moja.
Mungu yupo
Waliouza ni akina nani?Yaani wapingaji wa mkataba huu kwa sehemu kubwa ni wagalatia. Hata mkutano wa kesho watakaohutubia ni wagalatia.
Kwa hili mnatia mashaka ikiwa issue ni mkataba tu...
Toka humu kama hutaki kujibiwaWe dogo unataka duudyu wewe, kaa mbali nami
Asikilizwe yupi sasa mkuuWatanzania wengi, mara nyingi, hata wanapokuwa sawa, wanakuwa sawa kwa sababu zisizo sawa.
Nimesikiliza naona anatoa argument from authority tupu, that is a logical fallacy.
Ni tatizo la uwezo mdogo wa kufikiri.
By the way, siungi mkono mkataba wa bandari, ila pia siungi mkono hoja za logical fallacy ya argument from authority.
Mnafurahishana tu hapa na kupotezeana muda.Kuna wakati na wewe una vimaneno vya hovyo na uchonganishi unavyoviandika pasina kufikiri vema! Hapa hatufurahishi genge!
Ukitaka kuingia hapa, uwe timamu kichwani ndo utype bhana! Kuna wakati unahitaji kuacha muda upite kidogo baada ya kula kande la choroko johnthebaptist
Wewe ni mdududu gani tena?Mnafurahishana tu hapa na kupotezeana muda.
Ni mwendo wa kushabikia tu.
Mara leo ataongea huyu kesho yule ili mradi muda uende tu but in reality hakuna mnaloweza kubadili
Asikilizwe yupi sasa mkuu
Maana wanaoupinga ni wanasheria manguli, wanasiasa wastaafu na viongozi wa kada za juu kabisa, viongozi wa dini hawakuachwa nyuma katika hili, vyama vikuu vya upinzani na wananchi kwa uwingi wanaukataa!
Kila neno na hoja za msingi kukataliwa kwa mkataba zimeshasemwa, unataka Asikofu asemeje mkuu
Mimi ni mkristo kama huyo Askofu lakini sina mawazo wala akili za kibaguzi na zakipumbavu kama za kwenye hiyo video.Sina mengi ya kusema sikiliza hiyo video ya mwanamapinduzi ndio mjue wale wauza bandari za watu walivyoyakanyaga, maskini wee mwafaa.
View attachment 2695165
Trust me Saa100 hatafanikiwa kuuza mali Za Tanganyika.Mnafurahishana tu hapa na kupotezeana muda.
Ni mwendo wa kushabikia tu.
Mara leo ataongea huyu kesho yule ili mradi muda uende tu but in reality hakuna mnaloweza kubadili
Pia tambua kuwa moja ya jukumu la JWTZ ni kuilinda katibaSamia kosa ulilolifanya litakugharimu sana..
Umekaribishwa TANGANYIKA unashiriki kuuza nchi
Tunakataa vipengele vya mkataba we pimbi.Mimi ni mkristo kama huyo Askofu lakini sina mawazo wala akili za kibaguzi na zakipumbavu kama za kwenye hiyo video.
Mtu wa kawaida ni rahisi sana kumteka akili kwa kuwa na mawazo ya jumla jumla kama ya huyo askofu lakini mtu mwenye akili za kisasa zenye kuchambua mambo kwa kina hana muda kabisa na sera za kibaguzi.
JPM angekuwa hai mpaka muda huu hili suala la DPW lingeshamalizika kitambo, wala hakuna askofu angeweza kuanzisha maneno kama huyu. Tatizo Samia ni mzenji inakuwa rahisi kumchukia kwa jinsia yake na kwa dini yake.
Hayati Magufuli angepitisha mkataba muda mrefu sana uliopita na hakuna ambaye angekuja na sera za uarabu wa mwekezaji.
Rwanda na Congo ambapo wameshasaini mikataba, hawajui kama huo ni mwarabu?. Hii ni vita ya kiuchumi lakini kibaya zaidi hapa TZ inatugawa kwa misingi ya udini wa kipumbavu sana.
Wana ccm hawako sawa! Magufuli kawalaani siyo buleWahuni Pia wanayao ya kusema . Wakawaeleze familia zao
Kwanza kabisa, Askofu ajielimishe kuhusu kitu kinaitwa argument from authority.Asikilizwe yupi sasa mkuu
Maana wanaoupinga ni wanasheria manguli, wanasiasa wastaafu na viongozi wa kada za juu kabisa, viongozi wa dini hawakuachwa nyuma katika hili, vyama vikuu vya upinzani na wananchi kwa uwingi wanaukataa!
Kila neno na hoja za msingi kukataliwa kwa mkataba zimeshasemwa, unataka Asikofu asemeje mkuu
Tanzania na Zanzibar ( unaweza kukubali ujinga huu) kama ukisoma Chuo kikuu au umemaliza F4, diploma au certificate!!Kwanza kabisa, Askofu ajielimishe kuhusu kitu kinaitwa argument from authority.
Argument from authority ni kusema "hata fulani kakataa, basi mkataba huu mbaya". Au "hata fulani kaukubali, basi mkataba huu ni mzuri"
Basically you are outsourcing your thinking.
DPW akiwajua kwamba hizi ndizo fikra zenu, akawakusanya hao watu wote mnaowaheshimu na kuwahonga pesa ndefu, anaweza kuinunua nchi nzima.
Pinga au unga mkono hoja kwa sababu ya mantiki, naikubali mantiki hii na ike ya mkataba, au siikubali mantiki hii au ile ya mkataba, si kwa sababu hata fulani kaukubali au kaukataa mkataba.
Akili za kipumbavu sana hizi mkuu byeyombo. Chuki dhidi ya uislam imejificha nyuma ya mawazo ya kumkataa mwekezaji.Kumbe tupinge kwasababu ya udini!!
Huwa mnaambiwa mtaje vipengele vipi ili muelimishwe, mnakaa kimya na kueneza chuki za kipuuzi..Tunakataa vipengele vya mkataba we pimbi.
Hakuna mtu anakatwa mwekezaji!!
Masuala ya madini si kati ya mambo 22 ya Muungano.Tanzania na Zanzibar ( unaweza kukubali ujinga huu) kama ukisoma Chuo kikuu au umemaliza F4, diploma au certificate!!