Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Mwanza awataka wanyonge kukataa wanaomtukana Hayati Magufuli

Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Mwanza awataka wanyonge kukataa wanaomtukana Hayati Magufuli

Hawawezi kuelewa, wamelemewa na hydrogen sulfides, methane na carbon dioxide baada ya ASALI nyingi.

Kaa mbali nao, hali ya hewa haiko salama!
 
Jiwe limekufa tumebaki na amani. ASKOFU ASITUPANGIE CHA 5UFANYA AHUBIRI BIBLIA. Siasa na dini wapi na wapi?
 
Nitatoa Zaka,sadaka ya mavuno,kuwezesha Kanisa,mchango wa ujenzi wa Kanisa,Sadaka ya Jumuiya na hakuna kitu utafanya na Kanisa na Viongozi wake litaendelea kusimama Imara.
Sitoi na hakuna kitu utafanya. Siulei ujinga mimi. Kwanza Papa mwenyewe roporopo tu.
 
Sitoi na hakuna kitu utafanya. Siulei ujinga mimi. Kwanza Papa mwenyewe roporopo tu.
Mimi nishasema nitatoa mara mbili yako.Unadhani Papa anajua kuna kiumbe kama wewe unaishi? Walau ungekuwa pale Vatican angeweza stuka kuna mtu anavuta pumzi ya Vatican sawa na yeye,lakini upo huku madongo kuinama mwishoni mwa Dunia,hauna madhara kabisa.
 
Mimi nishasema nitatoa mara mbili yako.Unadhani Papa anajua kuna kiumbe kama wewe unaishi? Walau ungekuwa pale Vatican angeweza stuka kuna mtu anavuta pumzi ya Vatican sawa na yeye,lakini upo huku madongo kuinama mwishoni mwa Dunia,hauna madhara kabisa.
We kapuku wa dunia ya tatu ata ukitoa mara kumi yangu, utabaki maskini hivyo hivyo, wa akili na mali.
 
We kapuku wa dunia ya tatu ata ukitoa mara kumi yangu, utabaki maskini hivyo hivyo, wa akili na mali.
Kumbe unajijua upo maporomokoni mwa Dunia,hiyo mikwara ya kutokutoa sadaka unampa nani sasa? Hata Bishop Nkwande hajui kama upo na wewe unavuta pumzi achilia mbali Papa.
 
Siwe kukubali kazi za tapeli wa maneno kama yule , katili na muuaji kama yule , huyo alikubalika na wapumbavu tu wa aina yako mlio kuwa mnachekelea kuitwa wanyonge wakati mwenzenu amefungua account uchina kwa ajili ya kuficha hela anazo pora watu kwenye account zao za bank.
Ulipolwa kiasi gani wewe masikini mkubwa na nimnyonge wa kufa unauza duka la shemeji yako hapo na wewe unajiona mwenye pesa! Shithole mkubwa wewe.
 
Askofu Mkuu jimbo Catholic Lenatus Nkwande ameongoza misa leo uwanja wa Kawe Kamo umefurika watu wakiwa wamekusanyika kumkumbuka Magufuli kwa kweli Magufuli anapendwa.

Baba askofu amewausia kuendelea kumuombea Magufuli na kuwaombea haters wake wakiwemo walamba asali na wazuri hawafi.

Pia alikuwepo na Anna Makinda hongera sana watu wote mliofika.

---

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, Mhashamu Baba Askofu Renatus Nkwande amesema wanyonge huwa wanatetewa na wachache sana lakini wanyonge huwa wanajisahau hata aliyekutetea wakati mwingine unasahau, anasemwa vibaya umesahau, lazima wakati fulani useme hapana bila shaka hiyo ni demokrasia pia eti kwani demokrasia lazima useme ndio tu bila shaka hata kusema hapana sivyo

Baba Askofu Nkwande kwenye Misa Takatifu ya kumuombea aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli iliyofanyika katika Madhabahu ya Bikira Maria Malkia wa Kawekamo Mwanza Jumamosi Tarehe 25/03/2023.

"Bahati mbaya kweli demokrasia hii wako wanatukana tukana,lakini hata huyu ambaye tumeona amefanya mazuri makubwa kwa nia njema kwa sadaka kubwa leo hii mfu lakini bado tunasemasema hawa watu wanatufundisha hatimaye kutujue na sisi kusema hapana, wanatoa funzo wanatukumbusha kwamba ikiwezekana ifikie mahali tuseme hapana" Askofu Nkwande

"sasa unataka kutuambia kwamba hiyo SGR kwamba hakuifanya na alifanya kwa ajli ya nini ya familia yake si kwa ajili yetu sisi hizo stendi hizo zinaingiza magari yake mle, hiyo treni linajengwa tayari ni la nani alafu leo mtuambie kwamba sasa ni mabaya ni mabaya ni mabaya" Askofu Nkwande

"Nilianza kwa kusema kwamba wanyonge huwa wanatetewa na wachache sana lakini wanyonge huwa wanajisahau hata aliyekutetea wakati mwingine unasahau, anasemwa vibaya umesahau, lazima wakati fulani useme hapana bila shaka hiyo ni demokrasia pia eti kwani demokrasia lazima useme ndio tu bila shaka hata kusema hapana sivyo" Askofu Nkwande


Mbona yeye sio mnyonge ?
 
Back
Top Bottom