mnajivamia wenyewe tu,kwenye ofisi za chadema kuna nini cha mno?Wakati huohuo muendelezo wa uvamizi wa ofisi za Chadema na shughuli zao umeendelea nchini, hali hii inawatia hofu wananchi hasa wa vyama vya upinzani na kujihisi hawako salama katika nchi yao wenyewe.
Hapo ni Kiluvya? Basi sawa.17:20hrs EAT
Pwani Tanzania
Jioni hii Tundu Lissu azungumza akiwa bado amezuiliwa barabarani
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu azungumzia suala la Polisi kuweka vikwazo wakati yeye ni kiongozi wa chama asifanye majukumu aliyopangiwa na chama baada ya Kamati Kuu ya CHADEMA kumpangia kazi za chama baada ya zuio la Tume ya Taifa ya Uchaguzi la siku 7 asifanye Kampeni za 2020 kwa kofia ya Mgombea wa Urais.
Hofu ya kulalana wanaume. Si kila Jambo kuigaViongozi wa dini wa kweli walioamua kuwa upande wa haki kipindi hiki cha dictator ni askofu Niwemugizi, Sheikh Ponda, Askofu Bagonza, Askofu Mwamakula na askofu Shoo. Hawa wameamua kuwa wazi dhidi ya hujuma. Inawezekana wapo wengi, lakini hawa wameishinda hofu waziwazi.
Nahisi huwa anafikiri ni kanisa lake alilochangisha ujenzi wa msikiti ndani ya madhabahu asubirie tu kuvuliwa heshimaJiwe anazidi kuikorofisha Jumuia ya kimataifa.
Huwa najiuliza hivi jiwe anaijua PENTAGON kweli ama anaisikia tu
Na we mbona kiswahili chako ni kama cha mrundi vile.Huyu Askofu ni raia wa Tanzania kweli? Mbona kiawahili chake ni kama mkongomani vile
Bahati yake ningekuwa IGOPolisi na CCM hamuoni kuwa hapo ndiyo mnamsaidia Lissu kufanya kampeni tena bila malipo japo time imemfungi?
Wewe mwizi wa nauli za wanaume acha kelele weweHuyo Lissu anatapatapa tu baada ya kuona hawezi kupata hats 10% ya kura.
Sasa si wamwache kwanini wamfanyie yale ambayo wengine hawafanyiwi...., Kabla ya yote yeye ni binadamu na mwananchi ambaye anatakiwa kupata haki kama mtu mwingine yoyote...Huyo Lissu anatapatapa tu baada ya kuona hawezi kupata hats 10% ya kura.
Kuna clip inatembea kuwa umesema utalala hapo njiani ili kudai haki yako. Usifanye huo mchezo, hao ni watu waovu wanaweza kukufanya lolote usiku wa manane.
Kama waliweza kukupiga risasi saa saba mchana watashindwa kukupiga saa 7 za usiku??? Sasa hivi wewe ni zaidi ya tishio kwa bosi wao, kuwa makini.
CHADEMA LINDENI USALAMA WA MGOMBEA WENU.
Huu ni ushauri tu, mkitaka chukueni, mkitaka acheni.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Na Mimi nakazia hapo.hakuna kama LisuHilo tukio la Lissu kukesha na maaskari akisimamia anachokiamini ndo jambo kuu linaloenda kuiangusha CCM wiki chache zijazo kwenye sanduku la kura.
Hii ni zaidi ya kampeni kwa Lissu kew sababu ingawa hajafanya kampeni ila hapa polisi wamemfanyia kampeni Lissu kwa kiwango cha nchi nzima na mikoa yake yote, na wilaya zake zote na kata na vijiji vyake vyote!!!
Nasema tena Tanzania nzima, hakuna na hajawai kutokea mwanasiasa kama Tundu Antiphas Lissu. Si nyerere, si kambona, si maalim, si zitto, si mtikila, si tuntemeke Sanga, Si aboud Jumbe wala si Mkapa, Kikwete, Mwinyi na Magufuli, Hakuna , nasema tena Hakuna yeyote kati ya hao aliyewai kufanya tukio kama hili la kuwa mstari wa mbele kusimamia unalolianini. Huyu jamaa psmoja na kufanywa mlemavu, anaacha mke nyumbani a nalala nje na kukesha katika kusimamia haki!!!
Ni hakika. Hakuna kama Tundu Antiphas Lissu
I salute you Lissu
Wewe subiri tu,mwamakula amekosa maadiliHii kamati ya maadili ya viongozi wa dini bado wanafanya nini kumsimamisha askofu Mwamakula kutoa mahubiri kwa muda wa siku 7? au wamelala..
Kwanza Idea ya kusema atalala hapo hapo sijui kaambiwa na nani kuwa inaworkNa Mimi nakazia hapo.hakuna kama Lisu
Mwamakula siku zote anahubiri haki amani na upendo. Kwa nyakati kama hizi za Nebukadneza Mwamakula alishachia maisha yake kwa Mola.Wewe subiri tu,mwamakula amekosa maadili
Mnamjua Mungu nyie? Au Mungu wa Chato?Mungu huyuhuyu mliemkejeli wakati wa maombi kipindi cha janga la corona?