Mkuu hao Pentagon hawawezi kumfanya lolote wakati wewe umejifungia ndani.Tanzania ni ya mali ya watanzania na si Pentagon, tunaendekeza kwa kumtegemea mzungu wakati sisi wenyewe tunaweza kupambana na huyu mkoloni mweusi na kumng'oaJiwe anazidi kuikorofisha Jumuia ya kimataifa.
Huwa najiuliza hivi jiwe anaijua PENTAGON kweli ama anaisikia tu
Kwa kifupi Jana kampeni imefanyika....Mbona kama naona hapo walipomsimamisha sasa ndio wanampigisha kampeni vizuri sasa.
Kuna clip inatembea kuwa umesema utalala hapo njiani ili kudai haki yako. Usifanye huo mchezo, hao ni watu waovu wanaweza kukufanya lolote usiku wa manane.
Kama waliweza kukupiga risasi saa saba mchana watashindwa kukupiga saa 7 za usiku??? Sasa hivi wewe ni zaidi ya tishio kwa bosi wao, kuwa makini.
CHADEMA LINDENI USALAMA WA MGOMBEA WENU.
Huu ni ushauri tu, mkitaka chukueni, mkitaka acheni.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Tena kampeni ya kiwango cha kimataifa na kitaifa. Maana Tundu Lissu kusimamia kweli analoliamini huku polisi wakimtisha na mwisho Polisi kuufyata wenyewe alafu Lissu akapiga mkutano wa ndani usiku sana akiwa live kwenye online channels tena kukiwa na viewers wa mkutano wake zaidi ya 10000 ni kielelezo tosha kuwa bora Tume wasingemfungia kufanya kampeni 😂😂😂Kwa kifupi Jana kampeni imefanyika....
licha ya katazo la tume
Dr Mahera na genge lao la wakina Bashiru na Polepole wanamuhujumu mgombea wetu Dr MagufuliTena kampeni ya kiwango cha kimataifa na kitaifa. Maana Tundu Lissu kusimamia kweli analoliamini huku polisi wakimtisha na mwisho Polisi kuufyata wenyewe alafu Lissu akapiga mkutano wa ndani usiku sana akiwa live kwenye online channels tena kukiwa na viewers wa mkutano wake zaidi ya 10000 ni kielelezo tosha kuwa bora Tume wasingemfungia kufanya kampeni [emoji23][emoji23][emoji23]
kama hawezi mbona mnahangaika sanaHuyo Lissu anatapatapa tu baada ya kuona hawezi kupata hats 10% ya kura.
Tumia ata akili tu kidogoUsiku huu Lisu anakwenda wapi, ame beba tochi? Kibri ndicho kinacho mtesa lisu wala sio,polisi wala tume ni kibri.
Hao ni matapeli tuHana kanisa kitu alichonacho no hizo nguo za kiaskofu aluzojishonea mwenyewe
Kanisa lake wewe unalijua hata lilipo?
Huyo ni Askofu hewa mpiga maombi hewa kwenye mikutano ya Lisu
Lisu maaskofu wa makanisa yote makubwa hawamtaki ndio maana huoni hata Askofu mmoja au padre wa dini yake ya kikatoliki akikanyaga mikutano take
Viongozi wakuu wa dini ya Kiislamu yenye waislamu wengi pia hawamtaki ndio maana huwezi ona shehe yeyote wa BAKWATA kwenye mikutano ya Lisu
Viongozi wakuu wa dini kubwa wanajielewa.Lisu kwao in misfit
Nani "akate tamaa"?Mungu amtie nguvu Mh Lissu ili asikate tamaa bali asonge mbele, yeye ndiye Rais ajaye
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Ni kweli,hakukua na sababu ya kumfungia lisu,,hii inamuungezea kukubalika,watu wanaona na wanaingiwa hisia za kuwa upande wake,,Dr Mahera na genge lao la wakina Bashiru na Polepole wanamuhujumu mgombea wetu Dr Magufuli
ANAIJUA PENTAGON VIZURI SANA KULIKO UNAVYOFIKIRIA. PIA ANAJUA ALIAPA KUTETEA MASLAHI YA TANZANIA NA SIYO YA AMSTERDAM, TRPPI, SMITH, N.K. VILEVILE ANAAMINI MUNGU YUKO NASI NA TUKIMUOMBA KAMA VILE MIMI NAFANYA KILA SIKU ATATOKOMEZA USALITI HUU WA LISSU NA KUNDI LAKE. USIOGOPE MAANA MUNGU YUKO NASI. ALITUSAIDIA GONJWA LA COVID19 AMBALO LINAMUSUMBUA HATA RAIS WA USA; SEMBUSE USALITI WA LISSU NA VIBARAKA WAKE! WATASHINDWA NA KULEGEA. NAKUSHAURI UUNGANE NAMI KWA KUOMBEA TAIFA LETU LISIINGIZWE UTUMWANI TENA. MUNGU IBARIKI TANZANIA.Jiwe anazidi kuikorofisha Jumuia ya kimataifa.
Huwa najiuliza hivi jiwe anaijua PENTAGON kweli ama anaisikia tu
KUMFUNGIA NI SAWA KABISA MAANA ALIKUWA ANAPOTOSHA RAIA KUWA JPJM AMEWAITA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI KUPANGA NJAMA ZA KUHUJUMU UCHAGUZI. SASA UNAONA KAKUBALI KOSA LA KUSEMA UONGO. CHADEMA KUPITIA WAWAKILISHI WAKE KWENYE TUME YA MAADILI YA NEC WALIOMBA APUNGUZIWE ADHABU. WANGEACHA KUMFUNGIA ANGEENDELEA KUSEMA HUU UONGO. LISSU HANA SERA YOYOTE NZURI YA KUTUENDELEZA TULIPOFIKA. SERA YAKE NI KURUHUSU MALI ZETU ZIPORWE NA MARAFIKI ZAKE WALIOMTIBU. HATUKUBALI KAMWE. NDIYO MAANA KATIKA ILANI YAO WANASEMA MADINI YETU YATAWEKWA REHANI KWA KUWEKWA DHAMANA. SOMA ILANI YAO UKURASA 84 KIPENGELE 12.1 b; UTAONA USALITI HUU. JPJM HAKUBALI UNYONYAJI HUU NDIYO MAANA WANAMCHUKIA. AMKA NDUGU YANGU. WANATAKA KUTUIBIA MALI ZETU.Ni kweli,hakukua na sababu ya kumfungia lisu,,hii inamuungezea kukubalika,watu wanaona na wanaingiwa hisia za kuwa upande wake,,
Hata hivyo bado tutashinda tu,,
wewe je unaijua pentagonJiwe anazidi kuikorofisha Jumuia ya kimataifa.
Huwa najiuliza hivi jiwe anaijua PENTAGON kweli ama anaisikia tu
[/QUOTE]Muacheni basi kama mnajua hapati kitu !
Mungu huyu utashangaa mnaendani mdhoofu ana vyuma sababu yenu, anadunda lkn yule nanii bitozi mpenda totoz ana left....
QUOTE="Jane Lowassa, post: 36922826, member: 365567"]
Huyo Lissu anatapatapa tu baada ya kuona hawezi kupata hats 10% ya kura.