Askofu Mwamakula kuongoza matembezi ya hiyari kuhamasisha Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

Pumba.vu!. Askofu ana raha gani kulisha kondoo ambao wapo oppressed? Ni dhambi kwa Mungu kwa watumishi wa Mungu kufumbia macho udhalimu. Askofu huyu hataki kubeba hiyo dhambi.
Ni mtumishi wa MUNGU wa kweli sn huyo pamoja na Bagonza
 
Sasa Kama Kuna hiyo nguvu ya mbinguni kwa nini asitumie hiyo anaingia na nguvu ya kibinadamu ya kuandamana? Hana nguvu yeyote ya mbinguni huyo tapeli tu
Kama nguvu ya mbinguni pekee inatosha kwa nini kuna makanisa na misikiti?
 
Lazima wailete pale tutakapo amua kama watanzania kuingia barabarani hakuna lisilowezekana
 
Maelezo mengi kama vile hauishi huko Tanzania, so unaulizia ushahidi wa kura feki zilizokamatwa? Pathetic
 
Mbona huo mwaliko wewe haukuhusu! Au unataka kuja na kadi ya wale wenye itikadi tofauti?
 
askofu anakumbuka shuka saa moja asubuhi.
 

Hii njia ya huyu askofu safi sana. Tutajitokeza kwa wingi wetu. Kwa sasa hii ndio sahihi ya kupata katiba mpya. Hapa bunge hili kibogoyo la wezi wa kura lisihusishwe kabisa maana litaishia kutuletea katiba yenye maslahi ya ccm na sio nchi.
 
Reactions: BAK
hivi we ni nani yake na mwamakula?? We ndo mzee wa kanisa??
Na huyo mwamakula ni mchunga mbuzi au.mchungaji wa nini hasa??

Wewe na aliye kutuma kapimeni UTI kabla ya kupost pumba zenu hapa😠
 
Akahamasishe watu waende kusali. Mbona Mwamakula unatelekeza kondoo wako? Rudi kwenye kazi yako ya Mungu
 
Huyu ni loser.
 
Askofu anapaswa kulisha kondoo maandamano na matembezi sio sehemu ya chakula cha kondoo,imetosha kusema askofu anataka watu wailaumu serikali kwaajili yake na hakuna namna watailaumu tu.

Kwamba serikali haipendi haki wala tume huru, mpaka wananchi wakidai tume huru serikali italaumiwa?
 

tatizo ni elimu wala hatuhitaji kumtafuta mchawi, kuna watu wa kupata elimu hata katika umri wao mkubwa na kuna wengine waachishwe bangi mara moja
 
Nashukuru kwa kukuona hili, hata Kama hatafanyika, kwa sababu ya utawala huul, lakini nia yake ni njema kabisa tumuunge mkono.

Katiba mpya ni Jambo jema Sana, Kama katibaa iliopo inasiginwa kimakusudi, kwasababu ya katiba iliopo, inatoa room hiyo ni vema tupambane tupate katiba mpya

Anajua kwa katiba hii, hata kabisa halipo salama.
 
Polisi watazuia mikusanyiko iliyo hatari kwa maambukizi ya COVID.
Hatuna COVID Tanzania madame. Ilishaisha. Labda useme wale jamaa watasema siku hiyo wanaokota makaratasi njiani na kuchoma taka
 
Tuache maujinga na kusombwa kama ngombe kwenye behewa. Uchaguzi umeisha, mumeshindwa, watanzania wengi wameamu kunga mkono juhudi, nyie na huyu askofu asiyejitambua, na anayetumika kutimiza matakwa ya chama cha siasa. Alafu mnakuja hapa kudanya watu eti nu maandamano ya wote , mnawaamulia watu nyie kama nani, huyo askofu alisha jutangaza kuwa ni mwanachama wa chadema, kwa kushiriki kwenye campaign za chadema, leo hawezo kuwa NEUTRAL ELEMENT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…