Askofu Mwamakula: Tundu Lissu aomba hifadhi Ubalozi wa Ujerumani baada ya vitisho vya uhai wake

Tuliwaambia mtashindwa vibaya, lakini mlibisha, hiki kipigo ni sawa na alichopata Trump.Wapi Pampo.Tanzania inasubiri serikali ya Marekani inayojitambua kufanya nayo kazi,
Mbona swali na jibu tofauti kabisa?

Halafu mimi nimefurahi mno Biden kushinda kwasababu alikuwa mpinzani na inaonesha jinsi gani nchi za wenzetu zinavyojali democrasia.

Trump ni Rais aliyepo madarakani lakini hakutegemea jeshi, polisi, usalama wa taifa wala wakurugenzi ili wampitishe kwa njia haramu kama ilivyo huku kwetu.

Kazi ya polisi na vyombo vya dola sio kuhakikisha utawala uliopo kubaki madarakani bali wenzetu wanajitenga kabisa na siasa wao anayeshinda ndo boss wao.
 
Mkuu, mshaurini Lissu kwamba aache vituko na maigizo!

Hivi si ni Lissu huyu huyu wakati wa kampeni akikuwa anashuka kwenye gari na kutunishiana misuli na Polisi huku akiwaambia nifanyeni chochote mnachotaka?..
Na zile risasi 32 alizopigwa nazenyewe maigizo?
 
Mkuu waliomshambulia kwa risasi walishakamatwa?? Au ulihitaji ushahidi gani?? Ninyi Wazungu mnawaita mabeberu lkn Sisi Wapinzani tunawaita Washirika wetu wa maendeleo.
 
Lissu akiguswa hata na unyoya safari hii! , tusije kulaumiana huko mbele ya Safari maana maandiko ya Mungu yanasema Kisasi ni haki, Kisasi kitalipwa tu!
Uzuri amiri jeshi mkuu anatambua mnaweza kumuangamiza kwa kisingizio kuwa ameangamizwa na Green hivyo yupo macho.

Maana nafsi zenu bado zinalilia ruzuku hivyo hazitakuwa tayari hili lipite kirahisi.

POLENI SANA.
 

Tundu haaminiki, hata chama chake hakimuamini ila waliamua kumtumia tuu kujaribu kushika dola kama walivyojaribu kwa Lowasa.
Baada ya kukosa ushirikiano kwa chama chake ni wazi kwamba anaweza kuwa anawaogopa wanachadema kwa ubaya aliowafanyia na sio serikali wala police wala rais
Siyo kigezo cha wewe kutaka kumuua
Hakuna anayefikiria wachana na hiyo kutaka kumuua.
Acheni kujitisha na kuogopa kweli😂
 
Lisu arudi zake nje Akatafute chuo au kazi nje afanye aachane kuzikomboa maiti.
wewe umenena,sometimes namfikiria sana Mbowe kwa mabilioni aliyopoteza yakiteketezwa na serikali. angalia Jussa tunaambiwa kavunjwa vunjwa lakini people they dont care. Ni kama wanapigania mifugo ambayo haina akili na utashi
 
Aisee naichukia serikali hii Kwa Roho mbaya wanazofanyia binadamu wenzzao
 
Haya Vijana andamaneni, mnaempigania ndiyo hivyo anaanza mchakato wa kuwaachia vumbi. mliambiwa mtabaki peke yenu hamuelewi.
 
Chama kina mambo kile. Sasa Tundu kama sio tapeli aitweje!? Unamdanganya hadi mwenyekiti wako pesa haijaingia halafu ukiulizwa sababu za kushindwa unasingizia wizi wa kura😃😃
Yeye alijua kura analindiwa na nani
 
Nimeumia sana, hakika ******** huyu...sala yangu naamini Mungu kaipokea!
 
Kama ni kweli ni aibu kwa Taifa letu. Kama akili za kudeal na Lissu zimeisha mnayakoroga wenyewe na si kila muda mtashinda. Hekima zitumike!
 

Na ndio maana serikali imekua ikitoa ulinzi kwa Tundu ili yaliyotokea awali yasitokee tena.

Tundu anaweza kuwa anaandamwa hata na marafiki zake, wapinzani wenzake kwenye siasa hata kwenye kazi zake. Ila sababu ana agenda binafsi kuhusu maslahi binafsi atasema ni serikali

Mwakyembe aliwahi kunusurika kifo, Magufuli nae pia. Waliowafanyia yale walikua wapinzani?

Vitu vingine tuwage tunawaza nje box
 
Watu wengi huchukulia poa ila hawajui tu, hata Ben saa8 walichukulia poa tena humu humu maana alikuwa mwanajamii forum mwenzetu tena kwa maneno ya utani oooh mtu mzima hatishiwi nyau ,oooh achana nao mwisho wa siku imebaki history, "msichukulie poa" Lissu kama ndo kweli asipuuzwe
 
Bado mna hamu ya kuua? Nyerere alishasema mkishazoea kula nyama za watu hamtaacha mlishakula nyama ya Alphonce Mawazo, Mkala ya Ben Saanane tena kwenye makazi matakatifu hadi mkaamua kuhama, mkala nyama ya Akwilina mkanywa damu ya Lissu Sasa Mnataka mle nyama yake kabisa duh...nyinyi kweli ni zaidi ya Mbwa mwitu
 
Wanaongea hayo, ila ikitokea Lissu akashambuliwa ndio yanakuja hapa kwa unafiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…