Ile ndoa ikasambaratika, kiwanja nadhani kilikuwa mikocheni, jamaa alikuwa wakili maarufu enzi hizo, Mwingira akampiga majini pamoja na matunguri, halafu akawa anamto**Bea mkeHivi huyu Askofu Mwingira si ndiye alikwa na kesi ya kiwanja alichopewa na yule wakili pale Kawe na yule wakili alipogundua anatembea na mke wake akafungua kesi ya kutaka kumnyang'anya kiwanja? Masikini yule wakili aliliwa mke wake na kiwanja na huyu Askofu Mwingira. Askofu wa ajabu sana huyu, tapeli tu, eti anatunza kondoo huku anatafun wake za waumini
😳Mwingira alivo muhuni angetaka kuuliwa si wangetumiwa hao malaya.
Ndio nakumbuka! Halafu yule wakili alikufa bwana, sijui mawazo? Huyu askofu ni mwovu kuliko Shetani. Baada ya kumlia mke si afadhali hata angemrudishia kiwanja chake, jamani kuna watu ni waovu sana kwa kutumia jina la Yesu! Huyu ndugu za wakili walitakiwa wamfanyie kitu mbaya nyuma kumkomesha na kuweka fundisho kwa maaskofu feki wengine.Ile ndoa ikasambaratika, kiwanja nadhani kilikuwa mikocheni, jamaa alikuwa wakili maarufu enzi hizo, Mwingira akampiga majini pamoja na matunguri, halafu akawa anamto**Bea mke
Kabla ya kiwanja jamaa alikuwa anamshawishi mke,baada ya kumla, amshawishi mume apeleke mapesa kanisani kwa Mwingira, mke akawa anashinda church mpaka jamaa kastukia mchezo, anastuka Mali zimekwisha na mke ameshaliwaNdio nakumbuka! Halafu yule wakili alikufa bwana, sijui mawazo? Huyu askofu ni mwovu kuliko Shetani. Baada ya kumlia mke si afadhali hata angemrudishia kiwanja chake, jamani kuna watu ni waovu sana kwa kutumia jina la Yesu! Huyu ndugu za wakili walitakiwa wamfanyie kitu mbaya nyuma kumkomesha na kuweka fundisho kwa maaskofu feki wengine.
Unataka kuwadhalilisha Rombo hotel ?Huyo Nabii wa kujiita ifikie hatua ajiheshimu.
Hivi unaanzaje kumkashfu Rais kwa tuhuma za kijinga namna ile?! Unamuita Rais shetani kweli...
Nasikia yule wakili alikufa hana uwezo na kina Mwingira wakabaki na mali zake! Jamani, hizi dini nyingine ni ushetani mtupu, shetani anajifanya malaika wa nuru!Kabla ya kiwanja jamaa alikuwa anamshawishi mke,baada ya kumla, amshawishi mume apeleke mapesa kanisani kwa Mwingira, mke akawa anashinda church mpaka jamaa kastukia mchezo, anastuka Mali zimekwisha na mke ameshaliwa
Mbona hayo mauaji yalitangazwa na baadhi ya vyombo vya habari?Huyo Nabii wa kujiita ifikie hatua ajiheshimu.
Hivi unaanzaje kumkashfu Rais kwa tuhuma za kijinga namna ile?! Unamuita Rais shetani kweli...
Ulitaka ajikombe kama wewe?Huyo Nabii wa kujiita ifikie hatua ajiheshimu.
Hivi unaanzaje kumkashfu Rais kwa tuhuma za kijinga namna ile?! Unamuita Rais shetani kweli?
Niseme wazi mm Rais Samia sifurahishwi na baadhi ya matendo yake lakini siwezi kamwe kumvunjia heshima kwa kiwango kile.
Hali kadhalika hugo nabii wa kujiita alivyo mjinga anataja hotel ya watu kwa kuituhumu kwa kashfa kubwa ya mauaji ilhali hana hata ushahidi!
Rombo hotel mshtakini mahakamani huyo mpuuzi.
Uzuri hajamtaja mtuToa ushahidi usio na shaka kuwa amemuita samia shetani kuhusu rombo hotel wabishe waone watu watakavyoingia kazin kuleta data.
Aitaje mara mia kama kweli waliruhusu unyama huu ufanyikeKakosea sana kutaja brand ya watu
Kumbe na wewe wajua story zake[emoji2][emoji2][emoji1][emoji2]!!!huyu si ndo wa pale mwenge efatha!!!!Mwingira alivo muhuni angetaka kuuliwa si wangetumiwa hao malaya.
naanza kuyaelewa baadhi ya maelezo ya Mshana Jr ambayo aliwahi uyatoa juu ya mambo haya na watu wa namna hii.Udhaifu wake ni mbususu mkuu akiona warembo anachaganyikiwa sana
Ni thread gani hiyo ya Mshana mkuu? Aliongelea nini?naanza kuyaelewa baadhi ya maelezo ya Mshana Jr ambayo aliwahi uyatoa juu ya mambo haya na watu wa namna hii.
Kuna thread aliipandisha wakati wa msimu wa "mkono wa baunsa"...! Title nimesahau.Ni thread gani hiyo ya Mshana mkuu? Aliongelea nini?