Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Hivi huyu Askofu Mwingira si ndiye alikwa na kesi ya kiwanja alichopewa na yule wakili pale Kawe na yule wakili alipogundua anatembea na mke wake akafungua kesi ya kutaka kumnyang'anya kiwanja? Masikini yule wakili aliliwa mke wake na kiwanja na huyu Askofu Mwingira. Askofu wa ajabu sana huyu, tapeli tu, eti anatunza kondoo huku anatafun wake za waumini
Ile ndoa ikasambaratika, kiwanja nadhani kilikuwa mikocheni, jamaa alikuwa wakili maarufu enzi hizo, Mwingira akampiga majini pamoja na matunguri, halafu akawa anamto**Bea mke
 
Ile ndoa ikasambaratika, kiwanja nadhani kilikuwa mikocheni, jamaa alikuwa wakili maarufu enzi hizo, Mwingira akampiga majini pamoja na matunguri, halafu akawa anamto**Bea mke
Ndio nakumbuka! Halafu yule wakili alikufa bwana, sijui mawazo? Huyu askofu ni mwovu kuliko Shetani. Baada ya kumlia mke si afadhali hata angemrudishia kiwanja chake, jamani kuna watu ni waovu sana kwa kutumia jina la Yesu! Huyu ndugu za wakili walitakiwa wamfanyie kitu mbaya nyuma kumkomesha na kuweka fundisho kwa maaskofu feki wengine.
 
Kabla ya kiwanja jamaa alikuwa anamshawishi mke,baada ya kumla, amshawishi mume apeleke mapesa kanisani kwa Mwingira, mke akawa anashinda church mpaka jamaa kastukia mchezo, anastuka Mali zimekwisha na mke ameshaliwa
 
Tunawaomba wadau wa Shekilango mtusaidia kuiweka hadharani Rombo Hotel ili mauaji zaidi yasifanyike hapo
 
Kabla ya kiwanja jamaa alikuwa anamshawishi mke,baada ya kumla, amshawishi mume apeleke mapesa kanisani kwa Mwingira, mke akawa anashinda church mpaka jamaa kastukia mchezo, anastuka Mali zimekwisha na mke ameshaliwa
Nasikia yule wakili alikufa hana uwezo na kina Mwingira wakabaki na mali zake! Jamani, hizi dini nyingine ni ushetani mtupu, shetani anajifanya malaika wa nuru!

Ndio maana aliomba kwa bosi wake tukapewa raisi wa vile. Haiwezekani bosi wake kuwa ni Mungu.
 
Huyo Nabii wa kujiita ifikie hatua ajiheshimu.

Hivi unaanzaje kumkashfu Rais kwa tuhuma za kijinga namna ile?! Unamuita Rais shetani kweli...
Mbona hayo mauaji yalitangazwa na baadhi ya vyombo vya habari?
 
Duuuuh, mwingira tena, Basi Efatha inakwenda kuporomoka soon, ngoja tujipe time tu
 
Huyo Nabii wa kujiita ifikie hatua ajiheshimu.

Hivi unaanzaje kumkashfu Rais kwa tuhuma za kijinga namna ile?! Unamuita Rais shetani kweli?

Niseme wazi mm Rais Samia sifurahishwi na baadhi ya matendo yake lakini siwezi kamwe kumvunjia heshima kwa kiwango kile.

Hali kadhalika hugo nabii wa kujiita alivyo mjinga anataja hotel ya watu kwa kuituhumu kwa kashfa kubwa ya mauaji ilhali hana hata ushahidi!

Rombo hotel mshtakini mahakamani huyo mpuuzi.
Ulitaka ajikombe kama wewe?
Kama kweli ailuawa Rombo hotel amekosea wapi?
Je muuaji sio shetani kweli?
Mwingira gooo
 
Mwingira alivo muhuni angetaka kuuliwa si wangetumiwa hao malaya.
Kumbe na wewe wajua story zake[emoji2][emoji2][emoji1][emoji2]!!!huyu si ndo wa pale mwenge efatha!!!!
 
Back
Top Bottom