chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Ile ndoa ikasambaratika, kiwanja nadhani kilikuwa mikocheni, jamaa alikuwa wakili maarufu enzi hizo, Mwingira akampiga majini pamoja na matunguri, halafu akawa anamto**Bea mkeHivi huyu Askofu Mwingira si ndiye alikwa na kesi ya kiwanja alichopewa na yule wakili pale Kawe na yule wakili alipogundua anatembea na mke wake akafungua kesi ya kutaka kumnyang'anya kiwanja? Masikini yule wakili aliliwa mke wake na kiwanja na huyu Askofu Mwingira. Askofu wa ajabu sana huyu, tapeli tu, eti anatunza kondoo huku anatafun wake za waumini